BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Haya Yanga ashinde sasa na yeye kwa Ibenge,Tayari MC Alger ana point 8 huko.kweli akili sio makalio kila mtu awe nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Yanga ashinde sasa na yeye kwa Ibenge,Tayari MC Alger ana point 8 huko.kweli akili sio makalio kila mtu awe nayo
Madunduka,nani kawaambia yanga anataka alegezewe?Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea.
1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila kufungwa. Hapa kuna sababu tatu. Kwanza, ni kuhakikisha wanamaliza wakiwa wanaongoza kundi. Pamoja na kwamba sare inaweza kutosha kwao kujihakikishia kuongoza kundi ila asiwaamini sana Yanga kwenye hilo, wanaweza kukubaliana watoke sare wakawageuzia kibao mwishoni mwa mechi, awe makini sana.
Pili, kumaliza kwa point nyingi na kufika mbali kwenye mashindano ni kwa ajili ya CV binafsi ya Ibenge itakayombeba mwishoni mwa msimu. Tatu, wanataka wajiwekee rekodi zao wenyewe za kujivunia.
2. Al Hilal wana ukaribu na Simba. Simu moja tu kwa uongozi wa Al Hilal unafuta uwezekano wote wa Al Hilal kuilegezea Yanga labda kama simu hiyo ina ombi maalumu la namna hiyo ila sioni huo uwezekano.
3. Al Hilal lazima wajiulize nani ana uafadhali akija kukutana naye mbele ya safari, SM Algier au Yanga? Hili ni swali gumu ila wao ndiyo wanajua jinsi ya kulijibu.
Binafsi sioni kama Al Hilal wana vishawishi au sababu yoyote ya kuilegezea Yanga.
SawaKuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea.
1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila kufungwa. Hapa kuna sababu tatu. Kwanza, ni kuhakikisha wanamaliza wakiwa wanaongoza kundi. Pamoja na kwamba sare inaweza kutosha kwao kujihakikishia kuongoza kundi ila asiwaamini sana Yanga kwenye hilo, wanaweza kukubaliana watoke sare wakawageuzia kibao mwishoni mwa mechi, awe makini sana.
Pili, kumaliza kwa point nyingi na kufika mbali kwenye mashindano ni kwa ajili ya CV binafsi ya Ibenge itakayombeba mwishoni mwa msimu. Tatu, wanataka wajiwekee rekodi zao wenyewe za kujivunia.
2. Al Hilal wana ukaribu na Simba. Simu moja tu kwa uongozi wa Al Hilal unafuta uwezekano wote wa Al Hilal kuilegezea Yanga labda kama simu hiyo ina ombi maalumu la namna hiyo ila sioni huo uwezekano.
3. Al Hilal lazima wajiulize nani ana uafadhali akija kukutana naye mbele ya safari, SM Algier au Yanga? Hili ni swali gumu ila wao ndiyo wanajua jinsi ya kulijibu.
Binafsi sioni kama Al Hilal wana vishawishi au sababu yoyote ya kuilegezea Yanga.
AKILI ZA WATANZANIA KAMA HUYU NIZAKIPUMBAVU SANA, AKILI ZA USIMBA NA UYANGA WANAZIHAMISHIA NJE YA MPIRA WA TANZANIA, MFANO YANGA HATA IKAENDA UJERUMANI KWA AKILI ZAO ZA KIPUMBAVU WANAWEZA KUSEMA WATALEGEZEWA HIVYO HIVYO. NI UJINGA SANAAlikwambia nani Yanga inataka kulegezewa?
GENTAMYCINE, dunduka mwenzio huyu hapa.Unajua Yanga anaweza akalegezewa ila asiweze kushinda, Yanga ni mbovu jamani hamuelewi somo.
Sisi calculator zetu ziko palepale🤓🤓🤓Yote uliyoandika ni maoni yako binafsi.
Akitokea Rage, akakuambia wewe ni mbumbumbu! Hivi utanuna kweli, kutokana na hiki ulichokiandika hapa!!Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea.
1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila kufungwa. Hapa kuna sababu tatu. Kwanza, ni kuhakikisha wanamaliza wakiwa wanaongoza kundi. Pamoja na kwamba sare inaweza kutosha kwao kujihakikishia kuongoza kundi ila asiwaamini sana Yanga kwenye hilo, wanaweza kukubaliana watoke sare wakawageuzia kibao mwishoni mwa mechi, awe makini sana.
Pili, kumaliza kwa point nyingi na kufika mbali kwenye mashindano ni kwa ajili ya CV binafsi ya Ibenge itakayombeba mwishoni mwa msimu. Tatu, wanataka wajiwekee rekodi zao wenyewe za kujivunia.
2. Al Hilal wana ukaribu na Simba. Simu moja tu kwa uongozi wa Al Hilal unafuta uwezekano wote wa Al Hilal kuilegezea Yanga labda kama simu hiyo ina ombi maalumu la namna hiyo ila sioni huo uwezekano.
3. Al Hilal lazima wajiulize nani ana uafadhali akija kukutana naye mbele ya safari, SM Algier au Yanga? Hili ni swali gumu ila wao ndiyo wanajua jinsi ya kulijibu.
Binafsi sioni kama Al Hilal wana vishawishi au sababu yoyote ya kuilegezea Yanga.
na tukishinda mechi zote nani anaenda robo fainal kat ya Yanga na Mc AlgerzHaya Yanga ashinde sasa na yeye kwa Ibenge,Tayari MC Alger ana point 8 huko.
Sasa mbona hautulii mechi ichezwe?Mnajihakikishia ushindi utadhani mnaocheza nao hawaji nao kuutafuta huo huo ushindi. Lini mtajifunza mpira nyie watu?
Yanga anaendana tukishinda mechi zote nani anaenda robo fainal kat ya Yanga na Mc Algerz
Ni kweli umesema na zaidi ya hapo kama ulikuwa hujui ibenge ni mwanachama wa simba kwa kadiKuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea.
1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila kufungwa. Hapa kuna sababu tatu. Kwanza, ni kuhakikisha wanamaliza wakiwa wanaongoza kundi. Pamoja na kwamba sare inaweza kutosha kwao kujihakikishia kuongoza kundi ila asiwaamini sana Yanga kwenye hilo, wanaweza kukubaliana watoke sare wakawageuzia kibao mwishoni mwa mechi, awe makini sana.
Pili, kumaliza kwa point nyingi na kufika mbali kwenye mashindano ni kwa ajili ya CV binafsi ya Ibenge itakayombeba mwishoni mwa msimu. Tatu, wanataka wajiwekee rekodi zao wenyewe za kujivunia.
2. Al Hilal wana ukaribu na Simba. Simu moja tu kwa uongozi wa Al Hilal unafuta uwezekano wote wa Al Hilal kuilegezea Yanga labda kama simu hiyo ina ombi maalumu la namna hiyo ila sioni huo uwezekano.
3. Al Hilal lazima wajiulize nani ana uafadhali akija kukutana naye mbele ya safari, SM Algier au Yanga? Hili ni swali gumu ila wao ndiyo wanajua jinsi ya kulijibu.
Binafsi sioni kama Al Hilal wana vishawishi au sababu yoyote ya kuilegezea Yanga.
Tunasema hivi sababu tunajua huwezi shinda mechi zote mzee usiwe mbishi,huwezi shindana tukishinda mechi zote nani anaenda robo fainal kat ya Yanga na Mc Algerz
Kama wewe ulivyokalia uboo wa tabora na al hilalNi kweli ndio maana kila mkikutana nayo mnakalia
Wimbi Mapunga linazidi kukua kwa kasiKama wewe ulivyokalia uboo wa tabora na al hilal