Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,334
- 2,938
Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
Azam hawawezi kuwa na muendelezo wa matokeo, ni timu isiyokuwa na dira. Anaweza kukaza anapocheza na Simba na Yanga kisha akapoteza dhidi ya Namungo. Kumuweka nafasi ya kwanza ni wazo umejisahaulisha au bado mgeni na Azam fcNimewaambia simba wawe makini mno na Usajili Msimu huu. Au wanipe kazi niwape wachezaji japo Mufa umekwenda sana.
Simba wanapaswa kuwamakini sana , msiMamo wa ligi unaweza kuwa.
1. Azam FC.
2. Yanga.
3. Singida.
4. Simba.
5.hghgjhghj
Ibenge krisimasi ataila kwao LubumbashiKazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
Seriousness ya Azam naanza kuiona, kujea tuone upande wa usajili.Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
rulani mlugisi mokwena ni mwananchiKazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timrulaniu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
Simba ni timu kubwa Afrika. Acha timu zengine ziendelee kunitafuta kuifikia Simba!Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
Katika kocha mbovu huyu ni mbovu sana hana mbinu, kama Yanga watamchukua huyu watakuwa wamechemkarulani mlugisi mokwena ni mwananchi
Wengine wanasubiri wachezaji na makocha wasiokuwa na mikataba ndiyo wawasajili huku wakitaka matokeo makubwa.Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
Si wanasema Mokwena amekataa kufundisha Yanga!?rulani mlugisi mokwena ni mwananchi
Mokwena ni kocha mzuri.Katika kocha mbovu huyu ni mbovu sana hana mbinu, kama Yanga watamchukua huyu watakuwa wamechemka
Anaweza kuipandisha zaidi pia hadi kuchukua ubingwa AfrikaAcha Ibenge aje kushusha CV yake kirahis namna hiyo.
Dogo naona umerudi jukwaani kimya kimya! Uliaga humu siku kadhaa baada tu ya timu yako ya simba kukubali kucheza ya Yanga tarehe 25/06/2025 na kuangushiwa kipigo cha goli 2-0!Nimewaambia simba wawe makini mno na Usajili Msimu huu. Au wanipe kazi niwape wachezaji japo Mufa umekwenda sana.
Simba wanapaswa kuwamakini sana , msiMamo wa ligi unaweza kuwa.
1. Azam FC.
2. Yanga.
3. Singida.
4. Simba.
5. Tabora united
Hakuna kitakacho badilika kama hawatafyeka masilia ya Simba na Yanga kwenye uongozi wao,hujuma ziko palepale.Napenda sana ligi yetu ikuwe, msimu ujao Azam fc wafike mbali na wao