Ibenge ndani ya Azam, ligi kuu itakuwa na moto sana

Ibenge ndani ya Azam, ligi kuu itakuwa na moto sana

Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
ligi itakuwa moto mno maana azzqm yupo ibenge,singida yupo gamondi,simba yupo fadlu iwapo hawatamfuta,yanga yupo rulani,jkt yupo kocha kijana
 
Mpira wa Afrika unaongozwa sana na taasisi bora na brand kubwa namanisha uwe na pesa,mashabiki wa kutosha,ushawishi mkubwa,na figisu ndan na nje ya uwanja uzijue.
Yan simba huyo ata asiposajili kitu akabaki vilevile kuwa nafasi ya 4 wew sahau ata akawa na wachezaji wa ndani tu asisajili nje hawezi kuwa nafasi ya 5 kwasabu ana nguvu hzo hapo juu na yanga vilevile, hvyo vilabu vngne vyote vina pesa tu ila havina brand kubwa,havna mashabiki wengi,havina ushawishi mkubwa wala figisu bdo sana, Kwakifupi havina nguvu.
Angalia msimu huu simba hakuwa bora sehemu kubwa yan yanga kajipigia anavotaka yan alikuwa kama tabora tu alikuwa lakn kafka final ya cafcc.
Huu nd mpira wa afrka na tz kwahy cjuh gamond black stars mara ibenge azam lakn ngja msimu uanze utaona yaleyale tulozoea kila mwaka simba na yanga kusumbua na kufukuzana.
Pyramid inamashabiki milioni ngapi
 
Pyramid inamashabiki milioni ngapi
Pyramd ni kama azam tu hapa tz sio challenger wa uhakika wa ubingwa pale egypt miaka 17 yupo anangalia tu ahly na zamalek wakisumbua pamja na msimu huu kuwa bora egypt na afrika kwa ujumla lakn sitashangaa akiwa nafas ya 3 au 4 ligi kuu kwa kikosi kile kile hata kama ana pesa ila kakosa vingi ili usumbue mpira wa ligi kuu yake na ikiwezekana hata afrka angalau hata mamelod hana mashabik weng ila sehemu nyngne anajitahd kama pesa,figisu za kiafrika,connection ya afrika na jina kdogo analo nd mana anasumbua pale psl na afrka
 
Fuatilia rekodi zake zingine ameivusha Mamelody kwenda finals CAF mara kadhaa.
Mamelodi haikuwahi kucheza fainali chini ya huyu kocha, mafanikio yake ni nusu fainali moja tu. Kitu ambacho cha hovyo kwa huyu kocha ni kutokuwa na mbinu mbadala yeye mpira wake ni pasi tu nyingi hadi golini. Kama timu zenye kutumia pesa nyingi kashindwa kufurukuta katika mashindano ya CAF ndio aje aisaidie Yanga? Kwa huyu ni failure
 
Katika kocha mbovu huyu ni mbovu sana hana mbinu, kama Yanga watamchukua huyu watakuwa wamechemka
Naungana na wewe, kocha anatabirika kocha gani huyu. Siyo kocha wa kisasa. Yanga wakimchukua kweli wategemee mipasi mingi isiyo na maana.
 
Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
Shida Azam sio makocha ila figisu nje ya uwanja hapa wengi ndio hupigwa,either kupitia mamluki uongozini au kipitia timu pinzani wakiweza hii watabeba ubingwamara nyingi tu
 
Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
Kuna factors nyingi zinazoleta mafanikio katika timu. Yes, coaching ni moja kati ya hizo lkn bila kupewa uhuru na ushirikiano atafail kama wengine
 
Mokwena ni kocha mzuri.

Pyramd ni kama azam tu hapa tz sio challenger wa uhakika wa ubingwa pale egypt miaka 17 yupo anangalia tu ahly na zamalek wakisumbua pamja na msimu huu kuwa bora egypt na afrika kwa ujumla lakn sitashangaa akiwa nafas ya 3 au 4 ligi kuu kwa kikosi kile kile hata kama ana pesa ila kakosa vingi ili usumbue mpira wa ligi kuu yake na ikiwezekana hata afrka angalau hata mamelod hana mashabik weng ila sehemu nyngne anajitahd kama pesa,figisu za kiafrika,connection ya afrika na jina kdogo analo nd mana anasumbua pale psl na afrka
Figisu zisingekuwepo bingwa wa Egypt mwaka huu alikuwa ni Pyramid
 
Ibenge ni kocha ila ligi ni marathon siku zote alikuwa anafundisha team kubwa Azam sio kubwa hivyo ataishia pale pale nafasi ya 3 sema ataenda makundi shirikisho ila ndani
1.Yanga
2.Singida
3.Azam
4.Simba (thiiii''mba)
 
Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
 
Back
Top Bottom