Ibishie dunia siyo ulimwengu

Dunia Ina stage 3 ndugu... Public Life, Private life na Secret life..IPE AKILI KAZI
Zielezee vizuri hizo Mkuu maana kuna watakaokupinga hata kuvua na nguo kabisa na kubakia UCHI sababu wanakupinga emu watoe tongotongo
 
Ivi wewe ukitengeneza gari inaweza jipangia Cha kufanya.....?
Mbona umeweza kidogo sana Ndugu yangu!!..Ulimwengu umekuwepo na sheria zake Ili na sisi tuwe sehemu yake, Akili na utashi hukupewa Ili upokeee mapokeo ukipewa Ili uvitumie, kufanya reasoning za mambo....what you can't argue with ni zile natural laws pekee
 
Ivi wewe ukitengeneza gari inaweza jipangia Cha kufanya.....?
Inategemea umeiwekea mfumo gani hujui kuna Gari inamtambua mwenye Gari akifika tu mlango unafunguka anaingia ndani inamuuliza tunaenda Wapi boss anaiambia tu leo tunaenda mbinguni Gari hio inaongoza njia au haujui?
 
Owongo
Ulimwengu ni ombwe tupu linalotanuka kila SIKU mfano wa puto ambalo ndani yake kuna sayari zote
 
Ngoja walokole waje na Bible zao hapa kukupinga na wale wavaa Kobaz wanaosema Yesu sio Mungu, watakwambia utapigwa Mawe ufe sababu umekufuru
Ni ngumu sana kubadilisha fasihi uliyozaliwa unajikuta umo tu kwa zaidi ya miaka 500..Taratibu wataelewa,hasa tukisemezana kwa upendo
 
Noma sana
 
I appreciate......"akili na utashi hukupewa ili upokee mapokeo"........ whether you accept or reject the truth is your purpose comes from GOD.....Hata hizo natural law unazosema kwamba you cannot go against, yesu alizivunja Kwa kutembea juu maji........
 
Inategemea umeiwekea mfumo gani hujui kuna Gari inamtambua mwenye Gari akifika tu mlango unafunguka anaingia ndani inamuuliza tunaenda Wapi boss anaiambia tu leo tunaenda mbinguni Gari hio inaongoza njia au haujui?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.....afadhali umejibu vyema, gari imemtii aliyetengeneza mfumoπŸ‘
 
Morning Ndugu!!! Kafanye tafiti then njoo ujenge hoja...
Sasa hapo wewe ndiyo umejenga hoja gani?

Nakwambia hivi, umeandika uongo na ujinga.

Dunia ilikuwepo kabla ya hao unaowaita wanadamu.

Nimekuwekea mpaka miaka ya dunia na ya hao unaowaita wanadamu, nimefanya utafiti ndiyo maana nikaweka namba.

Wewe umeandika mambo kijingajinga tu.

Ukibisha, weka hoja kwa namba hapa, umri wa dunia na umri wa hao unaowaita wanadamu.

Tulinganishe namba zako na nilizoweka mimi.
 
Unaweza kuniambia kwanini Petro alipoingia ndani ya maji alianza kwa kutembea juu ya Maji alipoona wimbi kubwa linakuja akamwita Yesu "Bwana nazama" na akazama kweli, kwanini?
 
Hata namba zinaweza kua zimetoka kwa waongo mbona,maana we mwenyewe unasoma mahala ndo unakuja kuleta namba,we mwenyewe hukuwepo pia,yamkini ungesema huamini yote na hauna hakika ya mambo yote maana we mwenyewe unajifikirisha,ila kutupa uhakika huwezi,unaleta uhakika kwa kujaribu kusoma soma vitabu ama ku google,vitu ambavyo vilitokana na binadamu hawa hawa ambao na wao kwa miaka mingi yamkini walidanganya,so ni afadhari kupiga kimya maana mambo ya imani yanaweza kua na kitu nyuma ya pazia tusicho kijua,kwa hivyo mtu kujifanya anajua na amezaliwa majuzi tu hapa ni kujidanganya
 
Hii siku njema sana itatupandisha sote humu!!! Natural laws hazibishaniwi na yoyote asiye mhafidhina(Hilo andiko unalolijengea hoja kalifanyie tafiti, liliandikwa na nani, lini, wapi then come with it)

Yaani mpka leo hutaki kujua kwamba Bible siyo neno la Mungu pekee na maneno ya watu yapo humo ndani..

Imani isikufanye ukwepe wajibu wa kujua facts zake. Lazima tuheshimu Imani za watu wengine Lakini Hilo halizuii kuwa na mitazamo tofauti na wao.

Sasa unaambiwa tutaenda MBINGUNI,mbinguni ni wapi, au motoni, motoni ni wapi, kama mfano tu
 
17 Ndipo wale sabini waliporudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hata pepo wanatutii kwa jina lako.
Luka 10:17

18 Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme.
Luka 10:18
Ongeza Luka 10:19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…