Niwasalimu ndugu zangu!
Tuendelee kuishi maana tupo kwa muda na sababu,vyote vitaisha.
Dunia na ulimwengu ni vitu viwili tofauti Dunia ni mifumo ya wanadamu na ulimwengu ni UKAMILIFU wa maarifa yote. Unaweza kuita (ulimwengu ni uumbaji wa Mungu)
Tunaishi hapa ulimwenguni kwa sababu maalumu,pia hatutaendelea kuishi Katika ulimwengu huu na Mwili huu maana sababu za kuendelea kuwa na Mwili huu wa nyama zitakuwa zimeisha(Ukipata wazo lifanyie kazi Leo kesho ni hadithi)
Dunia inaongozwa na watu wenye akili kubwa,hurithisha vizazi vyao vyenye akili kubwa pia, Ili kuendelea kupata sifa na faraja ya muda mfupi, afadhari kuwa na faraja hapa kuliko kusubili faraja ya kesho ambayo ni jambo la kufikilika (itumie akili Yako kama MTU mwenye akili,Dunia Haina fear na mjinga)
Muda na sababu ndiyo msingi wa wewe na Mimi kuwepo kwa wakati huu Katika frecuency hii ya Mwili unaoshikika, mwanadamu ni cel, mwanadamu ni mawimbi, mwanadamu ni nguvu, mwanadamu ni Mungu (hakuna MTU mwenye mwili asiye na uungu ndani yake, uungu ni nguvu ya kufanya)
Time/Muda ni nini? Muda unakosa maana kama hakuna sababu, sababu ndiyo msingi wa muda, sababu ni maulizo na majawabu ya maulizo, mfano! Nani alisema iwe jumatatu,jumanne ,nani alisema Ili iwe saa moja ni lazima ziwe dk 60?. Concepts za watu zikikosa mbadala zilizopo zinapata makao ya kudumu moyoni na akilini. (Vitabu vya Dini siyo vitabu vya historia halisi ya matukio ya ulimwengu, vyenyewe ni fasihi za kutungwa)
Usiwaze kuhusu mbingu (heaven )na kuzimu, (hell) hizo zote ni story za kutishana tu. Waza kuhusu uwezo wako wa kuwa na furaha,kuwafanya wengine wawe na furaha, zaidi kufanya viumbe wengine waishi kwa uhuru kwa kadri ya sheria ya Asili. (Hapa tulipo tunaletwa kwa kazi maalumu, kama unaota au unaona maono yazingatie)
Viungo vyako vikiacha kushirikiana kwa sababu yoyote Ile, viungo vyote vinarudi ardhini kuendeleza rutuba, Ili vizazi vingine viendelee kuishi, kwa hiyo hata KIFO chenyewe ni concept ya MTU.. haiwezekani wewe ubebe DNA (kumbukumbu)ya baba Yako na mama Yako then uje useme ni KIFO, people are still living ndani Yako. So..if we're created by God, which I blv ... lazima Ako ndani yetu...(Don't be fooled by books, where's your mind)
NIMALIZE kwa udogo!! Ulimwengu Unapata maana kama vitu vinaenda kinyume. Juu ipo chini, kulia ipo kushoto. Moto ipo baridi... Dunia ibishie Lakini siyo ulimwengu
*Hakuna mfano nyuma ya mfano, nyama ya mfano Kuna Imani)
IPE KAZI AKILI