kenzeva mbatizaji
Member
- Jan 25, 2019
- 76
- 41
Hata Mimi nashangaa jamaa anasema eti alipaswa kuhakikisha anaongelewa mkataba alafu anasahau Yanga ilikuwa haina kiongozi yoyote hata pesa ya kusafirisha timu ilikuwa shida.Anaongezewa vipi mkataba wakati klabu haina pesa wala viongozi wa kutafuta pesa?
Mshahara tu ilikuwa tabu, Golikipa wao aligoma sababu hakumaliziwa malipo yake ya usajili na mishahara yake.
Wachezji wote hali ndio hiyo hiyo, Zehera hana kosa hapo.
hahahah!!kweli mkuu ndo maana hata kipigo chake kilikuwa kikubwa 5-0,5-0,4-1,2-0
Hivi angeenda timu za sauzi, misri or Morocco bado mngemlaumu zahera? Go ajibuApo nadhani Zahera mnamuonea maana hausiki na lolote hapo
Zahera kaja mwaka Jana kamkuta Ajibu mchezaji wa Yanga aliebakisha mwaka mmoja na amemtumia Hadi Sasa msimu unaisha, Apo anahusika vipi?
Kumbuka Yanga imejiendesha msimu mzima Bila viongozi Hadi juzi Uchaguzi ulipofanyika na hakuna mchezaji alieongezewa mkataba Wala alieachwa unamlaumu vipi hapo?
We ushaona wapi kocha huyo huyo, wakala wa,wachezaji wa timu yake huyo huyo, mfadhili huyo huyo.Umeongea pointi sana! zahera anaiua yanga anajenga club za kwao
Huyo aji huwa anamuweka benchi ili kuaminisha watu kuwa kaisha kumbe ana lake moyoni
Hivi upo Swahiba?Apo nadhani Zahera mnamuonea maana hausiki na lolote hapo
Zahera kaja mwaka Jana kamkuta Ajibu mchezaji wa Yanga aliebakisha mwaka mmoja na amemtumia Hadi Sasa msimu unaisha, Apo anahusika vipi?
Kumbuka Yanga imejiendesha msimu mzima Bila viongozi Hadi juzi Uchaguzi ulipofanyika na hakuna mchezaji alieongezewa mkataba Wala alieachwa unamlaumu vipi hapo?
Naona hapa ni kama ile simulizi ya Mchamungu mmoja ambae kila alipokuwa anafanya sala, basi alikuwa anamlaani shetani mara 1000! Ina maana akifanya sala za lazima mara 5 kwa siku, atakuwa amemlaani shetani mara 5000 kwa siku! Cha ajabu, siku ya siku Mchamungu huyu akiwa sekunde chache tu kuelekea umauti, akaja kuokolewa na shetani yule yule aliyekua anamlaani angalau mara 5000 kwa siku!Kama nikweli mashabiki wa Simba tunamtakia maisha mema
Aise sisi uko tumevuka zamani sana uko mtani
"Nndaga"! Sijui nimepatia!!
Hahaaaa. Leo hii ndio unasema hivyo Mtani wakati mwezi uliopita mlikuwa mnatutambia kwamba Ajib mnamchukua. πππAise sisi uko tumevuka zamani sana uko mtani
Kazi yetu kubwa ni kuboresha kikosi sasa hivi hatuuzi mtu Bali kuongeza wachezaji toka timu kazi izo za mazembe,Orlando, al half
Alafu huyu si kaondoka bure
Mbona kina Ndemla kila siku wanafeli majaribio? Kuwa mkweli tu kuwa Ajibu kaonekana akiwa Yanga! Hatujashiriki mashindano ya kimataifa lakini wachezaji wetu bado wanaonekana, je tungeshiriki ingekuwaje?Simba ni klabu kubwa Sana kwa ukanda huu wa Africa mashariki na Kati kwaio kuchezea Simba na tetesi zilizosambaa kutakiwa Tena kumemuongezea CV kwake
Lugha ya watu hii Mkuu ngoja waje waturekebishe kama tumekosea. πππ"Nndaga"! Sijui nimepatia!!
Mpaka wananchi waje kujua nini Zahera anawafanyia, watakuwa daraja la pili mwakani.
Mmepitia lini? Hamkuwagi kusema mmepitia kwa Mbwana Samatta wakati Samatta pale alinusa tu tena kwa "mkopo" baada ya Mo kuiuza Lyon kwahiyo hakuwa na budi kumtafutia Samatta timu ili kipaji chake kisikae hivi hivi! Lakini kwa wazee kama sisi, tunakumbuka kwa miongo ya karibuni ni Jangwani ndio imetoa wachezaji na kwenda kuwika nje kama ilivyo kwa Shaban Nonda na hivi sasa Simon Msuva anavyobamba huko Umangani! Boban kenda Sweden, kakosa bangi siku mbili tu, akaamua kurudi! Okwi nae kaenda SΓΈnderjyskE Fodbold, Denmark akaishia kusugua benchi tu hadi anarudi!Aise sisi uko tumevuka zamani sana uko mtani
Kazi yetu kubwa ni kuboresha kikosi sasa hivi hatuuzi mtu Bali kuongeza wachezaji toka timu kazi izo za mazembe,Orlando, al half
Alafu huyu si kaondoka bure
Hahaa!!Lugha ya watu hii Mkuu ngoja waje waturekebishe kama tumekosea. πππ
wenzetu wanaangalia sana umri kwa ajili ya mikataba mirefu na biashara baadaeKagere hivi hajapata kikosi? Yupo vizuri kwa sasa japo Mimi yanga