Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

Nibora aende tipmazembe huko kwawenye midomo yanyoka namwonea huruma kiwango chake kitapolomoka lasivyo bora abaki jangwani
 
Anaongezewa vipi mkataba wakati klabu haina pesa wala viongozi wa kutafuta pesa?

Mshahara tu ilikuwa tabu, Golikipa wao aligoma sababu hakumaliziwa malipo yake ya usajili na mishahara yake.

Wachezji wote hali ndio hiyo hiyo, Zehera hana kosa hapo.
Hata Mimi nashangaa jamaa anasema eti alipaswa kuhakikisha anaongelewa mkataba alafu anasahau Yanga ilikuwa haina kiongozi yoyote hata pesa ya kusafirisha timu ilikuwa shida.
Yanga msimu huu ilipaswa hata kamaliza ligi ikiwa 10 huko Bila Zahera , jamaa kasaidia Sana kuwamanage wachezaji wa kibongo Hulu timu ikiwa haina kitu Ni ngumu Sana kocha kusikilizwa
 
Ajib anaweza kuwa na umri gani kwa sasa? Kama anaenda tp ndiyo njia yake ya mafanikio sio mbaya tp level ya juu ukizingatia juzi ametoka kumchakaza mkia 4. Na hii itamuongezea cv kwa amunike
 
Apo nadhani Zahera mnamuonea maana hausiki na lolote hapo
Zahera kaja mwaka Jana kamkuta Ajibu mchezaji wa Yanga aliebakisha mwaka mmoja na amemtumia Hadi Sasa msimu unaisha, Apo anahusika vipi?
Kumbuka Yanga imejiendesha msimu mzima Bila viongozi Hadi juzi Uchaguzi ulipofanyika na hakuna mchezaji alieongezewa mkataba Wala alieachwa unamlaumu vipi hapo?
Hivi angeenda timu za sauzi, misri or Morocco bado mngemlaumu zahera? Go ajibu
 
Umeongea pointi sana! zahera anaiua yanga anajenga club za kwao

Huyo aji huwa anamuweka benchi ili kuaminisha watu kuwa kaisha kumbe ana lake moyoni
We ushaona wapi kocha huyo huyo, wakala wa,wachezaji wa timu yake huyo huyo, mfadhili huyo huyo.
Jamaa ametushika pazuri.
 
Ni vizuri! Na yeye akatafute Maisha kama wengine.
 
Apo nadhani Zahera mnamuonea maana hausiki na lolote hapo
Zahera kaja mwaka Jana kamkuta Ajibu mchezaji wa Yanga aliebakisha mwaka mmoja na amemtumia Hadi Sasa msimu unaisha, Apo anahusika vipi?
Kumbuka Yanga imejiendesha msimu mzima Bila viongozi Hadi juzi Uchaguzi ulipofanyika na hakuna mchezaji alieongezewa mkataba Wala alieachwa unamlaumu vipi hapo?
Hivi upo Swahiba?
 
Kama nikweli mashabiki wa Simba tunamtakia maisha mema
Naona hapa ni kama ile simulizi ya Mchamungu mmoja ambae kila alipokuwa anafanya sala, basi alikuwa anamlaani shetani mara 1000! Ina maana akifanya sala za lazima mara 5 kwa siku, atakuwa amemlaani shetani mara 5000 kwa siku! Cha ajabu, siku ya siku Mchamungu huyu akiwa sekunde chache tu kuelekea umauti, akaja kuokolewa na shetani yule yule aliyekua anamlaani angalau mara 5000 kwa siku!

Mchamungu alipomuuliza shetani imekuaje amemuokoa kukutwa na umauti, jibu alilopewa ndipo akagundua shetani hawezi kuwa na jema hata moja! Kwa niaba ya wana-Yanga na Ibrahim Ajibu, nasema "best wishes" yako hatuitaki manake ina vi-elements vya wema ambao aliufanya shetani kwa Mchamungu yule!
 
Aise sisi uko tumevuka zamani sana uko mtani
Kazi yetu kubwa ni kuboresha kikosi sasa hivi hatuuzi mtu Bali kuongeza wachezaji toka timu kazi izo za mazembe,Orlando, al half


Alafu huyu si kaondoka bure
Hahaaaa. Leo hii ndio unasema hivyo Mtani wakati mwezi uliopita mlikuwa mnatutambia kwamba Ajib mnamchukua. 😀😀😀

Mazembe wamewazidi kete huko.
 
Simba ni klabu kubwa Sana kwa ukanda huu wa Africa mashariki na Kati kwaio kuchezea Simba na tetesi zilizosambaa kutakiwa Tena kumemuongezea CV kwake
Mbona kina Ndemla kila siku wanafeli majaribio? Kuwa mkweli tu kuwa Ajibu kaonekana akiwa Yanga! Hatujashiriki mashindano ya kimataifa lakini wachezaji wetu bado wanaonekana, je tungeshiriki ingekuwaje?
 
Aise sisi uko tumevuka zamani sana uko mtani
Kazi yetu kubwa ni kuboresha kikosi sasa hivi hatuuzi mtu Bali kuongeza wachezaji toka timu kazi izo za mazembe,Orlando, al half


Alafu huyu si kaondoka bure
Mmepitia lini? Hamkuwagi kusema mmepitia kwa Mbwana Samatta wakati Samatta pale alinusa tu tena kwa "mkopo" baada ya Mo kuiuza Lyon kwahiyo hakuwa na budi kumtafutia Samatta timu ili kipaji chake kisikae hivi hivi! Lakini kwa wazee kama sisi, tunakumbuka kwa miongo ya karibuni ni Jangwani ndio imetoa wachezaji na kwenda kuwika nje kama ilivyo kwa Shaban Nonda na hivi sasa Simon Msuva anavyobamba huko Umangani! Boban kenda Sweden, kakosa bangi siku mbili tu, akaamua kurudi! Okwi nae kaenda SønderjyskE Fodbold, Denmark akaishia kusugua benchi tu hadi anarudi!
 
Back
Top Bottom