Labda kama NADRI HAROUB hakufikisha alichokifata kwenye ofisi ya Mo mtani... Na nyie mnahusika kula mhamala mkuu.Itakuwa mmetisha kwenye Miamala sio bure Mtani. ππ
Mtoe mchezaji wa Dewj huyo kisha niambie hao wengine wanawika kwenye timu zipi! Nimekuambia, sio kutaja wachezaji wanaocheza nje ambao hata Mgambo JKT wanao, mimi nataka wachezaji wanaowika nje kama anavyowika Msuva! Huyo Kazimoto ndo yupi?! Ni yule ambae alienda Umangani akaishia kuwa mchuma tende, au Kazimoto yupi?! Huyo Ochan katua Mazembe akabaki na kazi ya kushika jezi tu za akina Samatta! Huyo Kichuya, anyway naweza kumpa muda kidogo! Boban tushamzungumzia tayari! Asingeweza kucheza sehemu ambayo ganja haipatikani kirahisi lakini mwenyewe akasingizia Sweden kodi nyingi kwahiyo mshahara ulikuwa unaishia kwenye kodi! Yaani Boban ajifanye mtaalamu wa kodi? Pumbavu!Wapo wengi mno tuliouza.. kwa ufupi tu.
Ochan
Samatta
Kichuya
Kazimoto
Boban
Kwa Tz bado sana hizo Academy ndugu. Japo tusubiri tuone huenda huko mbeleni zikawepo za kueleweka.Ni kweli kabisa
Ila timu zetu zingekuwa na under 19 zingekuwa hazipati shida sana
Zinatakiwa ziwe na academ kwaajili ya kukuza vipaji na kuwapandisha juu kwaajili ya kulinda timu isiteteleke pale wachezaji maslah wanapo ondoka
Hahahaa. Sasa Mtani ubingwa wenyewe huu wa Viti Maalum naona hata auhitaji pongezi.
Nitawapa kesho mkimfunga Sevilla. Teh teh
Hebu muacheni mzee wa watu bana Mtani.
Kwa Tz bado sana hizo Academy ndugu. Japo tusubiri tuone huenda huko mbeleni zikawepo za kueleweka.
Hahahaaa. Sawa Mtani kwa kuwa ubingwa unao kibindoni sina kauli hapa.Aisee.
Sawa, ila na nyie si mmegombea viti hivi hivi, sema mkauza kura yenu.
Ujue mpaka leo sijuagi Mtani huyu Baba wa watu kawakosea nini? Sababu kila jambo lake kwenu baya.Yule mzee atauza mpaka jengo lile, mchekeeni tu.
Hatimae yule mtaalam wa asissts za maana anyakuliwa na TP mazembe huku wanajangwani wakiambulia patupu, asajiliwa kama mchezaji huru.View attachment 1104015
Ujue mpaka leo sijuagi Mtani huyu Baba wa watu kawakosea nini? Sababu kila jambo lake kwenu baya.
Ndio hivyo...mwenye ubavu aje[emoji23] wacha we!
Mpira ni biashara kubwa inayolipa kama mchezaji akichanga karata zake vizuri, kila siku tunawaeleza wachezaji wetu waachane na mazoea ya kuishia Simba na Yanga wavuke mipaka ili waboreshe maisha yao pamoja na kuimarisha timu ya Taifa.Yeye kama kocha anaejua wachezaji wake wote kuanzia viwango mpaka tabia, alipaswa asimame kidete kuhakikisha ajibu anaongezewa mkataba,, ila yeye ndo alkua wa kwanza kumuweka benchi bila hata sababu, yote hio kutaka kuonesha mashabiki na viongoz kuwa ajib si lolote na hata bila yeye yanga inaweza
Mwisho wa siku kampeleka kwao,,, acha achukue na 10% ya uwakala
Sio chini ya 23Ajib anaweza kuwa na umri gani kwa sasa? Kama anaenda tp ndiyo njia yake ya mafanikio sio mbaya tp level ya juu ukizingatia juzi ametoka kumchakaza mkia 4. Na hii itamuongezea cv kwa amunike
Timu itakayomhitaji lazima iwe na si chini bilioni 15
Ni heri lakini aondoke hapo ili Janga mpate kazi ngumu ya kuziba pengoHahaaaa. Leo hii ndio unasema hivyo Mtani wakati mwezi uliopita mlikuwa mnatutambia kwamba Ajib mnamchukua. πππ
Mazembe wamewazidi kete huko.
Aiseee! Ndio maana Mkuu ile issue ya Makambo kwenda Horoya mlifurahi kumbe mnajua tutapata kazi ngumu katika kuziba pengo. Saweni.Ni heri lakini aondoke hapo ili Janga mpate kazi ngumu ya kuziba pengo
Timu zote za ligi kuu zina timu za U20 ila tatizo kubwa ni gharama za kuziendesha hizi timu, hata sasa ligi ya U20 inaendelea Azam wameshafanikiwa kwenye uendeshaji wa timu za vijana!!Ni kweli kabisa
Ila timu zetu zingekuwa na under 19 zingekuwa hazipati shida sana
Zinatakiwa ziwe na academ kwaajili ya kukuza vipaji na kuwapandisha juu kwaajili ya kulinda timu isiteteleke pale wachezaji maslah wanapo ondoka
Timu zote za ligi kuu zina timu za U20 ila tatizo kubwa ni gharama za kuziendesha hizi timu, hata sasa ligi ya U20 inaendelea Azam wameshafanikiwa kwenye uendeshaji wa timu za vijana!!
Mpira wa sasa watu wanahitaji matokeo hata zile timu kubwa zilizokuwa na sifa ya kuamini kwenye vijana zimeanza kuachana na falsafa hiyo!! Leo hii hata Azam fc wanamfikiria Bocco ambaye walimwona umri ushamtupa
Alivyo-handle issue ya Beno Kakolanya na kumbeba Kindoki ndipo nilipochoka.Yeye kama kocha anaejua wachezaji wake wote kuanzia viwango mpaka tabia, alipaswa asimame kidete kuhakikisha ajibu anaongezewa mkataba,, ila yeye ndo alkua wa kwanza kumuweka benchi bila hata sababu, yote hio kutaka kuonesha mashabiki na viongoz kuwa ajib si lolote na hata bila yeye yanga inaweza
Mwisho wa siku kampeleka kwao,,, acha achukue na 10% ya uwakala