Okwi mara mbiliWapo wengi mno tuliouza.. kwa ufupi tu.
Ochan
Samatta
Kichuya
Kazimoto
Boban
Mussa Hassani Mgosi to DC MOTEMAPEMBE.Okwi mara mbili
Kumbe unataka nijibu unavyowaza wewe?... Dewji ni timu gani?Mtoe mchezaji wa Dewj huyo kisha niambie hao wengine wanawika kwenye timu zipi! Nimekuambia, sio kutaja wachezaji wanaocheza nje ambao hata Mgambo JKT wanao, mimi nataka wachezaji wanaowika nje kama anavyowika Msuva! Huyo Kazimoto ndo yupi?! Ni yule ambae alienda Umangani akaishia kuwa mchuma tende, au Kazimoto yupi?! Huyo Ochan katua Mazembe akabaki na kazi ya kushika jezi tu za akina Samatta! Huyo Kichuya, anyway naweza kumpa muda kidogo! Boban tushamzungumzia tayari! Asingeweza kucheza sehemu ambayo ganja haipatikani kirahisi lakini mwenyewe akasingizia Sweden kodi nyingi kwahiyo mshahara ulikuwa unaishia kwenye kodi! Yaani Boban ajifanye mtaalamu wa kodi? Pumbavu!
Ngoja waje waamke wajikute wako daraja la pili halafu Yanga yuko kwenye kamati ya vyombo halafu simuoni yuko wapi? Azam yeye yuko kwenye kamati ya vinywaji nimemuona hapa na ndugu yake Mbao ambaye yuko upande wa Kamati kuu ya ukusanyaji kuni ili Mnyama asheherekee ubingwa. Wengine wanajijua
Ngoja waje waamke wajikute wako daraja la pili halafu Yanga yuko kwenye kamati ya vyombo halafu simuoni yuko wapi? Azam yeye yuko kwenye kamati ya vinywaji nimemuona hapa na ndugu yake Mbao ambaye yuko upande wa Kamati kuu ya ukusanyaji kuni ili Mnyama asheherekee ubingwa. Wengine wanajijua
Hapo tunawaweka Ruvu shooting yaani Mbeya city wawe kwenye mapamboWeka biashara hapo kwenye kamati ya ulinzi
Vipi Nonda na Samatta nani zaidi?Kumbe unataka nijibu unavyowaza wewe?... Dewji ni timu gani?
Samatta alicheza dewji au simba?..
Kumbe unajua samatta anawika eeh!.. hakutoka yanga yule
Punguza mdomo nikuelewe
Umeongea pointi sana! zahera anaiua yanga anajenga club za kwao
Huyo aji huwa anamuweka benchi ili kuaminisha watu kuwa kaisha kumbe ana lake moyoni
Nonda sikumuona..Vipi Nonda na Samatta nani zaidi?
Ahakikishe anaongelewa mkataba na nini? Wakati Yanga haikuwa na uongozi? Wachezaji walikuwa hata mishahara hawalipwi yeye Zahera ndo alikuwa anawabembeleza wacheze na wakawa wanamsikiliza , ingekuwa na kocha mwingine Yanga hata msimu isingemaliza achilia mbali kushika nafasi ya 2.
Yanga kwa Sasa ndo imepata uongozi ndo Kwanza wanashughulikia kulipa madeni ya wachezaji.
Hata uongozi wa Sasa unapaswa kuanza kulalamikiwa kuanzia msimu ujao.
Yanga ndo inaanza upya kujipanga wachezaji pekee Mali ya Yanga Ni wale wenye mikataba
Bado ana nafasi na muda upo upande wakeSio chini ya 23