Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

Mtoe mchezaji wa Dewj huyo kisha niambie hao wengine wanawika kwenye timu zipi! Nimekuambia, sio kutaja wachezaji wanaocheza nje ambao hata Mgambo JKT wanao, mimi nataka wachezaji wanaowika nje kama anavyowika Msuva! Huyo Kazimoto ndo yupi?! Ni yule ambae alienda Umangani akaishia kuwa mchuma tende, au Kazimoto yupi?! Huyo Ochan katua Mazembe akabaki na kazi ya kushika jezi tu za akina Samatta! Huyo Kichuya, anyway naweza kumpa muda kidogo! Boban tushamzungumzia tayari! Asingeweza kucheza sehemu ambayo ganja haipatikani kirahisi lakini mwenyewe akasingizia Sweden kodi nyingi kwahiyo mshahara ulikuwa unaishia kwenye kodi! Yaani Boban ajifanye mtaalamu wa kodi? Pumbavu!
Kumbe unataka nijibu unavyowaza wewe?... Dewji ni timu gani?
Samatta alicheza dewji au simba?..
Kumbe unajua samatta anawika eeh!.. hakutoka yanga yule
Punguza mdomo nikuelewe
 
Ngoja waje waamke wajikute wako daraja la pili halafu Yanga yuko kwenye kamati ya vyombo halafu simuoni yuko wapi? Azam yeye yuko kwenye kamati ya vinywaji nimemuona hapa na ndugu yake Mbao ambaye yuko upande wa Kamati kuu ya ukusanyaji kuni ili Mnyama asheherekee ubingwa. Wengine wanajijua

Weka biashara hapo kwenye kamati ya ulinzi
 
Kumbe unataka nijibu unavyowaza wewe?... Dewji ni timu gani?
Samatta alicheza dewji au simba?..
Kumbe unajua samatta anawika eeh!.. hakutoka yanga yule
Punguza mdomo nikuelewe
Vipi Nonda na Samatta nani zaidi?
 
Kwa Mara ya kwanza nimependa comments zako leo. Huo Ndio uanamichezo sio mambo ya uyanga na usimba.
Ahakikishe anaongelewa mkataba na nini? Wakati Yanga haikuwa na uongozi? Wachezaji walikuwa hata mishahara hawalipwi yeye Zahera ndo alikuwa anawabembeleza wacheze na wakawa wanamsikiliza , ingekuwa na kocha mwingine Yanga hata msimu isingemaliza achilia mbali kushika nafasi ya 2.
Yanga kwa Sasa ndo imepata uongozi ndo Kwanza wanashughulikia kulipa madeni ya wachezaji.
Hata uongozi wa Sasa unapaswa kuanza kulalamikiwa kuanzia msimu ujao.
Yanga ndo inaanza upya kujipanga wachezaji pekee Mali ya Yanga Ni wale wenye mikataba
 
Write your reply...
hichi ndo tulikuwa tunakitaka safi
hakuna kuangalia ishu ya hela wew peleka wachezaji nje for the sake of national team!

sio lazima kila mtu aelewe kuhusu hili
 
Kwa kulalamika watanzania tumebarikiwa sana,unawezaje kumlalamikia Zahera kuhusu Ajibu kwenda TP Mazembe?,soka ni ajira kwa sasa siyo miaka ile ya kina Zamoyoni Mongela watu walikuwa wanacheza soka la kujifurahisha leo mnataka tuendelee na hizo enzi za ujima?,mwacheni Ajibu akatafute maisha acheni wivu wa kijingaaaaaa
 
Back
Top Bottom