mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Aliwaringia saana yanga kipindi kile. Pia aliwahi kuhitajiwa na TP Mazembe lakin alichomoa kisa aliahidiwa ahadi hewa na Simba. Kwisha habari yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwaringia saana yanga kipindi kile. Pia aliwahi kuhitajiwa na TP Mazembe lakin alichomoa kisa aliahidiwa ahadi hewa na Simba. Kwisha habari yake
Ni mvivu kweli sio uongoIbrahim Ajibu kama ilivyokuwa kwa Jonas Mkude na wenzake kadhaa wakiwemo kina Said Ndemla, wakati wanachipukia kwenye Simba B chini ya Kocha Selemani Matola walionekana ni wachezaji wenye vipaji ambao watakuja kuwa na maisha mazuri kiuchezaji uwanjani.
Hilo ilitimia kwa kiasi fulani, wakaonyesha uwezo wao walipopewa nafasi, katika lile kundi lao wapo waliotusua na wapo ambao mwendo wao ulikuwa mdogo mdogo, na wapo ambao walipotelea njiani.
Achana na wengine wote, Ajibu ilionekana ana kipaji kikubwa lakini Simba wanamchukulia poa, akahamia Yanga, huko akaonyesha uwezo mkubwa lakini bahati mbaya akakutana na uchumi mbovu, mwisho maisha yake nje ya uwanja hayakuwa mazuri na Yanga haukufana vizuri.
Kurejea kwake Simba ni kwa kuwa walitaka kuwaumiza Yanga, pia kipaji chake kilioekana kuwa juu tofauti na alivyokuwa awali Simba, hivyo ikaonekana amekomaa na sasa yuko tayari kwa mapambano.
Aliporejea alikutana na Simba ya moto hasa, akashindwa kufurukuta, akawa mtu wa kutokea benchi.
Taarifa kuwa Ajibu ni mvivu na hajitumi, zimekuwa zikisikika kwa muda mrefu japo mwenyewe anakanusha hilo.
Sasa hivi yupo Azam FC, wengi walitegemea kwa kuwa huko hakuna presha kama ilivyokuwa kwa Simba na Yanga, na kwa kuwa usajili wake wa Azam FC ulionekana ni kama anguko lake, niliamini huu ni muda wa yeye kuonyesha dunia ubora wake.
Lakini tangu atue Azam FC bado imekuwa ikionekana hajaonyesha kile ambacho wengi wanaamini anastahili kuonyesha.
Wadau tujadiliane, tatizo la Ajib ni nini? Tabia, Uwezo wake ndiyo umeishia hapo? Timu aliyopo haina ubora? Na kesho ya Ajib ipoje uwanjani?
Picha: Azam FC
View attachment 2143210
Hii mnayoita laana ya yanga ndio uchawi wenyewe?Laana ya Yanga bado inamtafuna
Mtu alipendwa akaaminika kwa washabiki hadi alipewa unahodha kabisa wa timu lakin bado akawatosa
Bado Gadiel naye naona tia maji tia maji pale msimbazi
Gadiel na ajibu kama si tamaa kwa kiwango kile walichoondoka Yanga iwapo wangebaki sasa hivi wangekua katika kiwango bora zaidi ya kileLaana ya Yanga bado inamtafuna
Mtu alipendwa akaaminika kwa washabiki hadi alipewa unahodha kabisa wa timu lakin bado akawatosa
Bado Gadiel naye naona tia maji tia maji pale msimbazi
Laana ya kutojitambua,ile tamaa yao wanajuta kwa sasa wakimuangalia mchezaji kama feisal ambae aliamua kukomaa sasa hivi ni mfalme wa jangwaniHii mnayoita laana ya yanga ndio uchawi wenyewe?
Kwa hiyo mchezaji akisajiliwa utopolo hatakiwi kwenda timu nyingine?
Acheni huo ulozi waacheni watu watafute maisha kwa vipaji vyao
Amelaaniwa yeye aikimbiaye YangaHii mnayoita laana ya yanga ndio uchawi wenyewe?
Kwa hiyo mchezaji akisajiliwa utopolo hatakiwi kwenda timu nyingine?
Acheni huo ulozi waacheni watu watafute maisha kwa vipaji vyao
Namuona akitimkia Singida Big StarsIbrahim Ajibu kama ilivyokuwa kwa Jonas Mkude na wenzake kadhaa wakiwemo kina Said Ndemla, wakati wanachipukia kwenye Simba B chini ya Kocha Selemani Matola walionekana ni wachezaji wenye vipaji ambao watakuja kuwa na maisha mazuri kiuchezaji uwanjani.