Ibrahim Ajibu tatizo ni uwezo umefikia ukomo au Azam FC?

Ukipewa kipaji bila akili madhara yake ndo hayo, akitoka Azam fc atasajiliwa na vitimu vidogo vinavyoshukaga daraja
 
Ni mvivu kweli sio uongo
 
Laana ya Yanga bado inamtafuna

Mtu alipendwa akaaminika kwa washabiki hadi alipewa unahodha kabisa wa timu lakin bado akawatosa

Bado Gadiel naye naona tia maji tia maji pale msimbazi
Hii mnayoita laana ya yanga ndio uchawi wenyewe?

Kwa hiyo mchezaji akisajiliwa utopolo hatakiwi kwenda timu nyingine?
Acheni huo ulozi waacheni watu watafute maisha kwa vipaji vyao
 
Gadiel na ajibu kama si tamaa kwa kiwango kile walichoondoka Yanga iwapo wangebaki sasa hivi wangekua katika kiwango bora zaidi ya kile
 
Hii mnayoita laana ya yanga ndio uchawi wenyewe?

Kwa hiyo mchezaji akisajiliwa utopolo hatakiwi kwenda timu nyingine?
Acheni huo ulozi waacheni watu watafute maisha kwa vipaji vyao
Laana ya kutojitambua,ile tamaa yao wanajuta kwa sasa wakimuangalia mchezaji kama feisal ambae aliamua kukomaa sasa hivi ni mfalme wa jangwani
 
Wachezaji wa Tz wanaridhika mapema
 
Hii mnayoita laana ya yanga ndio uchawi wenyewe?

Kwa hiyo mchezaji akisajiliwa utopolo hatakiwi kwenda timu nyingine?
Acheni huo ulozi waacheni watu watafute maisha kwa vipaji vyao
Amelaaniwa yeye aikimbiaye Yanga
Makolo 5:11
 
Namuona akitimkia Singida Big Stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…