Ibrahim alihesabiwaje kuwa Baba wa Imani ili hali alisema uongo kwa Farao?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Bwana ni mwema!

Mimi sio msomaji wa Quran tukufu hivo nitajikita sna kwenye biblia ambayo najua ABC za code zake.

Mwanzo 12:12-19 (KJV) basi itakuwa, Wamisri watakapokuona watasema, Huyu ni mkewe; kisha wataniua mimi na wewe watakuacha hai.

Tafadhali useme, wewe u ndugu yangu, iwe heri kwangu kwa ajili yako, na nafsi yangu iishi kwa ajili yako.

Basi ikawa Abramu alipofika Misri, Wamisri wakamwona huyo mwanamke ya kwamba yeye ni mzuri sana.

Wakuu wa Farao wakamwona, nao wakamsifu kwa Farao; basi yule mwanamke akachukuliwa nyumbani mwa Farao.

Naye akamtendea Abramu mema kwa ajili yake; naye alikuwa na kondoo na ng'ombe, na punda waume, na watumwa, na wajakazi, na punda wake, na ngamia.

Lakini Bwana akampiga Farao na nyumba yake mapigo makuu, kwa ajili ya Sarai, mkewe Abramu.
Ndipo Farao akamwita Abramu, akasema, N'nini hili ulilonitendea? Mbona hukuniambia ya kuwa huyo ni mkeo?

Mbona ulisema, Huyo ni umbu langu, hata nikamtwaa kuwa mke wangu? Basi sasa, huyo mke wako umchukue, uende zako.

Huyu ndo baba wa Imani ibramu kabla hajaitwa ibrahimu. (Mwanzo17:1...)

Ilikuwaje baba wa Imani amdanganye mfalme?

Je kipindi hicho uongo haikuwa dhambi?

Kama sivyo mbona hatuoni pahala ibrahimu anatubu dhambi yake?

Kama alikuwa sahihi je Mimi Leo hii nikitenda kosa/dhambi naruhisiwa kudanganya Ili nijiokoe?

Nasoma habari ya daudi nayeye alijifanya chizi/tahira Ili tu aweze kujiokoa kwenye mikono ya adui yake. Je walikuwa sahihi?

Kama ni sahihi vipi akina Danieli,meshaki na abdinego kwanini wao walikuwa na Imani hata kufa na kuthibitisha Imani Yao walikuwa tiyari kuwekwa kwenye tanuru ya moto mkali.

Maana Imani Yao ilikuwa kubwa wakiamini yakuwa Mungu wao yupo atawaokoa hakika!!.

Tuna msoma Daieli pekeake alitupwa kwenye shimon lenye Simba mwenye njaa Kali Wala hakuwaza kabisa.

Alilala humo Hadi asubuhi akiwa salama salimini kabisa!

Sasa huyu Ibrahim kuwa baba wa Imani ilitokanaje na huku anaogopa kufa kisa kupokonywa mke wake!

Huyu huyu baba wa Imani alimkula house girl wake/kijakazi wake.

Kwangu Mimi Huwa naona Kuna kitu hakiko sawa hapa!

Swali ni sahihi kusema uongo/ kudanganya Ili ujiokoe?
 
Attachments

  • Abraham-The-Bible-Collection-Christian-MovieFilm-DVD.jpg
    Abraham-The-Bible-Collection-Christian-MovieFilm-DVD.jpg
    44.2 KB · Views: 6
Inaruhusiwa kusema uongo kama utakuwa na manufaa kwako.
 
Huyo Ibrahim ndio huyo kwenye picha?
 
Kwani haujui pia kuwa Sarah alikuwa ni ndugu wa Baba mmoja na Ibrahimu.? Soma soma mbele kidogk utakutana na ukweli mwingine ambao kwa huo Ibrahimu hakufanya kosa la uongo kwa hao wamisri. usisikie story za watu tuliza akili soma na utajua ukweli.
 
Usikute anasoma ili aje kubishana JF hii ndio shida🤔
 
Hii sijui asee

Back
Top Bottom