Ibrahim Baba wa Imani Alimwambia Íshmael mwanaye amfukuze Mkewe kwa sababu hana heshima na Adabu. Ishmael akamtii Babaake akamfukuza Mkewe

Ibrahim Baba wa Imani Alimwambia Íshmael mwanaye amfukuze Mkewe kwa sababu hana heshima na Adabu. Ishmael akamtii Babaake akamfukuza Mkewe

Mtu yoyote anayesema Book Of Jasher Ni ya Uongo bhasi anaikana Biblia Yote kuwa ni Ya Uongo...
 
Mtu yoyote anayesema Book Of Jasher Ni ya Uongo bhasi anaikana Biblia Yote kuwa ni Ya Uongo...

Hicho kitabu japokuwa Watu wanakikana lakini kwa kweli kimejibu gap nyingi zilizoachwa kwenye biblia hii ya sasa

Mtu aliyesoma Book of Jasher ana-details nyingi kutoka kwa Adamu mpaka Musa kuliko aliyesoma kitabu hiki cha kawaida
 
Ils Book of Jasher ni Kitabu kimojawapo Kilichokuwepo kwenye Biblia ila kiliondolewa na watu..
Japo Kuna baadhi ya Maandiko kwenye Biblia YameRejea Kitabu hicho
acha uongo........kadanganye wengine sio mm ............"hekima yako kwangu ni upumbavu"🤕🙄.
 
Kwakuwa haya uliyosema hayapo kwenye Bibilia, wacha nikae kimya
 
Hicho kitabu japokuwa Watu wanakikana lakini kwa kweli kimejibu gap nyingi zilizoachwa kwenye biblia hii ya sasa

Mtu aliyesoma Book of Jasher ana-details nyingi kutoka kwa Adamu mpaka Musa kuliko aliyesoma kitabu hiki cha kawaida
uliza swali ambalo unahisi biblia yenye vitabu 66 haijajibu afu kimejibiwa humo......hivo vitabu vinapingana na biblia takatifu......ukibisha leta story za humo uone zinavokinzana na biblia au sema swali mojawapo ambalo limejibiwa humo kwenye biblia linajibiwa......."walipojiona wenye hekima walipumbazika"
 
acha uongo........kadanganye wengine sio mm ............"hekima yako kwangu ni upumbavu"🤕🙄.
Uongo wangu Upo wapi??
kwa Kutumia Maandiko Yako mwenyewe?
Soma Biblia Imefanya Rejea Ya Kitabu cha Yashari, Book of Jasher..

Sasa Mimi na Wewe Nani Muongo??

Yoshua 10:13

"Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,
Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari? Basi jua likasimama kimya katikati ya mbingu, wala halikufanya haraka kuchwa kama muda wa siku nzima."

"And the sun stood still, and the moon stayed, until the people had avenged themselves upon their enemies. Is not this written in the book of Jasher? So the sun stood still in the midst of heaven, and hasted not to go down about a whole day."

2 Samweli 1:18

"(kama ilivyoandikwa
katika kitabu cha Yashari), akasema, Wana wa Yuda na wafundishwe haya,"

(Also he bade them teach the children of Judah the use of the bow: behold,
it is written in the book of Jasher.)

Sasa Niambie Mimi na wewe Nani Muongo???
Kitabu cha Yashari (BOOK oF JASHER),Kilikuwa Kikisomwa Tangu Zamani mpaka Kilipoondolewa...

mimi Kawaida yangu Huwa sipo Kushindana wala kutafuta Mshindi ni nani Ila Nipo Kusema Kile chenye ukweli na Chemye Uongo
 
hivi unajua agano la kale liliandikwa mwaka gani nijibu hili......pia nani ni kopi ya mwenzake kati ya vitabu hivo vi2......nini kinachokufanya huamin kuwa biblia imekopi? au unaamini ( faith) kwa kusoma mahala kuwa biblia imekopi..... ... .......NB "hekima yako ni upumbavi kwangu"
 
IBRAHIM BABA WA IMANI ALIMWAMBIA ISHMAEL MWANAYE AMFUKUZE MKEWE KWA SABABU HANA HESHIMA NA ADABU. ISHMAEL AKAMTII BABAAKE AKAMFUKUZA MKEWE.

Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli

Ukitaka ndoa na familia yako íwe Stable hata nyakati ñgumu na watoto wako wawe na nidhamu na wafaníkiwe basi Nakushauri Role model wako katika mahusiano awe Ibrahim. Tafuta kisa cha Ibrahim na familia yake. Visa kutoka vyanzo mbalimbali. Kisha jifunze.

Elewa, duniani hakuna jipya.

Baada ya miaka mingi kupita tangu Ibrahim alipomfukuza Hajri na Íshmael.
Hajri na Íshmael walienda kuishi jangwa la Beer-Sheba.
Huko wakaishi mpaka íshmael akafikia umri wa kuoa. Hajri mamaye akaenda Misri kumchukulia Mke. Kumbuka Hajri ni Mmisri na alikuwa mtoto wa Mfalme kutoka katika moja ya Masuria wa Mfalme wa Misri. Hii ni Stori nyingine.

Ishmael akamwoa mkewe kisha wakapata Watoto. Shughuli za Ishmael zilikuwa uwindani na kurusha upinde.

Miaka mingi ikapita pasipo ya Íshmael kumwona Babaake, Ibrahim.

Wakati huo Ibrahim alikuwa amehamia Nchi ya Wafilisti akiwa ametoka nchi ya Kanaani. Akakaa huko siku nyingi sana bila ya kumwona mwanaye, íshmael.

Siku moja Ibrahim akamuaga Sarah Mkewe Kuwa anataka kwenda jangwa la Beer-Sheba kumwona Ishmael kwani ni miaka mingi imepita hajamtia machoni. Nao uzee ulikuwa umechanganya.

Sarah akamruhusu Mumewe lakini kwa masharti.

Ibrahim akaondoka na ngamia mpaka huko jangwa la Beer-Sheba huko akakuta mahema mengi akiwa amefika majira ya mchana jua la utosini. Akauliza uliza Watu wa eneo lile. Akaonyeshwa hema la mwanaye íshmael.

Akafika kwenye hema la Ishmael akiwa juu ya ngamia.
Akabisha hodi akapokelewa na sauti ya Mwanamke mmoja ambaye alikuja kutambua ni mkwe wake(mke wa íshmael). Watoto humo ndani ya hema walikuwa wakilia sana.
Ibrahim akamwambia Mkwewe, Mumeo yupo wapi. Mkwewe akamjibu ametoka ameenda kwenye shughuli zake za kuwinda.
Ibrahim akamwambia naomba unipatíe maji ya kunywa ninywe.
Mkwewe akamjibu humu ndani hakuna maji wala mkate.

Ibrahim bado alikuwa juu ya ngamia kwani Sarah Mkewe alimpa sharti kuwa atakapofika Beer-Sheba asije akashuka juu ya ngamia. Ibrahim alilinda kiapo na ahadi aliyomuahidi Mkewe kuwa atafanya kama alivyopatana naye.

Yule mkwewe akawa anawachapa watoto huko ndani ya hema huku akiwanenea maneno mabaya ya laana. Tena akawa anamlaani Íshmael mumewe.
Hayo yote Ibrahim alikuwa akiyasikia.
Ibrahim alichukia sana hasira zikawaka kifuani pake.

Lakini hakuwa na chochote cha kufanya.
Ikabidi amuage.
Akamwita Yule Mwanamke ambaye ni Mkwewe ambaye mpaka muda huo hakumtambua Ibrahim kama ni Babake na Íshmael.
Yule Mwanamke akatoka hemani akaja kusimama mbele ya Ibrahim wakitazamana.

Ibrahim akamwambia, akija mumeo Íshmael mwambie alikúja mwanaume mzee mmoja kutoka nchi ya Kanaani ambaye hakuwa na mwonekano wa kuvutia na maskini. Nikamwambia hakuna maji wala mkate. Tena mwambie kuwa yule mzee amesema hilo Hema lako fito zake zimeharibika hivyo uzibadilishe.

Ibrahim aliposema hayo akaondoka. Jioni Íshmael akafika. Mkewe akamsimulia kila alichoambiwa na yule mwanaume mzee ambaye ni Ibrahim.

Ishmael akajua mzee yule alikuwa ni Babaake, Ibrahim. Alichukia sana na kumkasirikia Mkewe kwa sababu hakumheshimu Babaake.
Pia alielewa maana ya kubadilisha fito za lile hema kuwa zimeharibika, akamfukuza Mkewe kwa sababu hakumheshimu Babaake na alimpimishia kutokana na mwonekano wa Ibrahim ambaye alijivika mavazi ya kimaskini na alijitia unyonge kwa malengo aliyoyajua yeye mwenyewe.

Ishmael akaenda kuchukua mke Kanaani akamwoa.
Miaka mitatu ikapita. Ibrahim akafunga safari tena kwenda kumwona mwanaye, íshmael.
Akafika kwenye hema la Ishmael majira yaleyale ya mchana wa jua la utosini.
Akamkuta mkewe Íshmael.
Yule mkewe akamkaribisha, akamwambia, karibu Bwana wangu, nikuandalie mwanambuzi, shuka nikuoshe miguu yako niitoe vumbi.
Ibrahim akamwambia Mkwewe, hapana binti yangu. Mumeo yuko wapi nipate maji tuu kwa maana ninakiua.
Basi yule Mwanamke baada ya kumueleza Ibrahim kuwa mumewe Íshmael yupo kazini kwenye kuwinda akiwa kamletea Maji.

Ibrahim akamwambia Mkwewe, akija mumeo Íshmael mwambie alikúja mwanaume mmoja mzee sana. Nikampa maji na kutaka kumuandalia mwanambuzi na kumuosha miguu lakini alikataa. Akanywa maji. Tena umwambie kuwa Fito za hema hili ni nzuri na imara asiziondoe.

Ibrahim alipokwisha kusema hayo akaondoka.

Íshmael aliporudi akaambiwa yote na mkewe. Akatambua yule aliyekuja alikuwa Babaake, Ibrahim. Akafurahi kuona mkewe alimheshimu licha ya kuwa alikuja kimaskini ingawaje hakuwa Maskini.
Mkewe alishangaa kusikia kuwa aliyekuja alikuwa Baba mkwe.

Mungu akaibariki familia ya Ishmael.

Mwisho wa hiyo Stori.

Stori hii ni ya kifamilia.

Ukisoma stori hii utagundua kuwa Familia ni chanzo kikuu cha mafanikio ya mtu kiuchumi, kijamii na kisiasa.

Mungu hubariki familia zenye utulivu, upendo na amani.

Ibrahim alimshauri mwanaye AMFUKUZE mkewe kwa sababu hakuwa na adabu na kama hakumheshimu asiyemjua bila shaka hawezi kumheshimu anayemjua.

Ibrahim aliona kuwa mafanikio na baraka za mwanaye zitakuwa kizuizini kwa sababu hakuwa na mke Sahihi.

Hivyo ili zile baraka za Mungu alizoahidiwa zitimie sharti AMFUKUZE mkewe.

Pia tunajifunza kuwa kumtii Baba kwa sababu wababa wengi hutoa ushauri usio na wivu tofauti na kinamama.

Mwisho kabisa, Mwanamke kama hakuheshimu wala hana adabu kwa wazazi wako wala adabu kwa Watu huyo fukuza

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hekaya za Abunuasi...
 
Hadithi ya uongo tupu.
 
uliza swali ambalo unahisi biblia yenye vitabu 66 haijajibu afu kimejibiwa humo......hivo vitabu vinapingana na biblia takatifu......ukibisha leta story za humo uone zinavokinzana na biblia au sema swali mojawapo ambalo limejibiwa humo kwenye biblia linajibiwa......."walipojiona wenye hekima walipumbazika"

1. Kwa Mujibu wa Biblia yako asili ya jina Farao ni nini?

2. Kwa Mujibu wa Biblia yenye vitabu 66 Je Ibrahim alimwona Núhu na Shem?

3. Kwa Mujibu wa Biblia yenye vitabu 66, Sarah Babaake aliitwa nani?

4. Kwa Mujibu wa Biblia yenye vitabu 66, Hajri ametoka familia ipi?

5. Kwa Mujibu wa Biblia yenye vitabu 66, Kaini aliuliwa na nani? Ili kutimiza ahadi ya Mungu ya auaye kwa upanga atakufa kwa upanga.

7. Kwa Mujibu wa Biblia Ibrahim alimpata wapi Eliezer?

Anza na hayo kabla hatujaenda mbele.

Aliyesoma Book of Jasher yupo mbele kimaarifa kuliko wewe wa vitabu 66
Yaani ni kama umeishia form four alafu mwenzako kaenda kidato cha sita
 
hivi unajua agano la kale liliandikwa mwaka gani nijibu hili......pia nani ni kopi ya mwenzake kati ya vitabu hivo vi2......nini kinachokufanya huamin kuwa biblia imekopi? au unaamini ( faith) kwa kusoma mahala kuwa biblia imekopi..... ... .......NB "hekima yako ni upumbavi kwangu"

Muulize Joshua ambaye anasema kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Yasheri yeye atakuambia kitabu hicho ni cha lini.
 
Kwakuwa haya uliyosema hayapo kwenye Bibilia, wacha nikae kimya

Tafuta kitabu cha Yasheri (Book of
Jasher) ambacho Joshua na Samwel anakitaja alafu kajifunze

Yoshua 10:13

"Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,
Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari? Basi jua likasimama kimya katikati ya mbingu, wala halikufanya haraka kuchwa kama muda wa siku nzima."
 
hivi unajua agano la kale liliandikwa mwaka gani nijibu hili......pia nani ni kopi ya mwenzake kati ya vitabu hivo vi2......nini kinachokufanya huamin kuwa biblia imekopi? au unaamini ( faith) kwa kusoma mahala kuwa biblia imekopi..... ... .......NB "hekima yako ni upumbavi kwangu"
Umenicopy Vibaya na Ningependa Tujadiliane Kuhusu Maandiko niliyoyaandika Kuhusu Book of Jasher..

Hata Hivyo Kuhusu Vitabu vya agano la kale..
Unafahamu Canonisation ya agano la kale ilifanyika lini?
Unafahamu chochote Kuhusu Council of Jamnia??
 
Sasa wataalam, hivo vitabu kama mnavyo pdf si mngeweka wote tupate maarifa
 
Sasa wataalam, hivo vitabu kama mnavyo pdf si mngeweka wote tupate maarifa
Book of Jasher
Chapter 21 Book of Jasher
Book of Jasher, Chapter 21

1 And it was at that time at the end of a year and four months of Abraham's dwelling in the land of the Philistines in Gerar, that God visited Sarah, and the Lord remembered her, and she conceived and bare a son to Abraham.

2 And Abraham called the name of the son which was born to him, which Sarah bare to him, Isaac.

3 And Abraham circumcised his son Isaac at eight days old, as God had commanded Abraham to do unto his seed after him; and Abraham was one hundred, and Sarah ninety years old, when Isaac was born to them.

4 And the child grew up and he was weaned, and Abraham made a great feast upon the day that Isaac was weaned.

5 And Shem and Eber and all the great people of the land, and Abimelech king of the Philistines, and his servants, and Phicol, the captain of his host, came to eat and drink and rejoice at the feast which Abraham made upon the day of his son Isaac's being weaned.

6 Also Terah, the father of Abraham, and Nahor his brother, came from Haran, they and all belonging to them, for they greatly rejoiced on hearing that a son had been born to Sarah.

7 And they came to Abraham, and they ate and drank at the feast which Abraham made upon the day of Isaac's being weaned.

8 And Terah and Nahor rejoiced with Abraham, and they remained with him many days in the land of the Philistines.

9 At that time Serug the son of Reu died, in the first year of the birth of Isaac son of Abraham.

10 And all the days of Serug were two hundred and thirty-nine years, and he died.

11 And Ishmael the son of Abraham was grown up in those days; he was fourteen years old when Sarah bare Isaac to Abraham.

12 And God was with Ishmael the son of Abraham, and he grew up, and he learned to use the bow and became an archer.

13 And when Isaac was five years old he was sitting with Ishmael at the door of the tent.

14 And Ishmael came to Isaac and seated himself opposite to him, and he took the bow and drew it and put the arrow in it, and intended to slay Isaac.

15 And Sarah saw the act which Ishmael desired to do to her son Isaac, and it grieved her exceedingly on account of her son, and she sent for Abraham, and said to him, Cast out this bondwoman and her son, for her son shall not be heir with my son, for thus did he seek to do unto him this day.

16 And Abraham hearkened to the voice of Sarah, and he rose up early in the morning, and he took twelve loaves and a bottle of water which he gave to Hagar, and sent her away with her son, and Hagar went with her son to the wilderness, and they dwelt in the wilderness of Paran with the inhabitants of the wilderness, and Ishmael was an archer, and he dwelt in the wilderness a long time.

17 And he and his mother afterward went to the land of Egypt, and they dwelt there, and Hagar took a wife for her son from Egypt, and her name was Meribah.

18 And the wife of Ishmael conceived and bare four sons and two daughters, and Ishmael and his mother and his wife and children afterward went and returned to the wilderness.

19 And they made themselves tents in the wilderness, in which they dwelt, and they continued to travel and then to rest monthly and yearly.

20 And God gave Ishmael flocks and herds and tents on account of Abraham his father, and the man increased in cattle.

21 And Ishmael dwelt in deserts and in tents, traveling and resting for a long time, and he did not see the face of his father.

22 And in some time after, Abraham said to Sarah his wife, I will go and see my son Ishmael, for I have a desire to see him, for I have not seen him for a long time.

23 And Abraham rode upon one of his camels to the wilderness to seek his son Ishmael, for he heard that he was dwelling in a tent in the wilderness with all belonging to him.

24 And Abraham went to the wilderness, and he reached the tent of Ishmael about noon, and he asked after Ishmael, and he found the wife of Ishmael sitting in the tent with her children, and Ishmael her husband and his mother were not with them.

25 And Abraham asked the wife of Ishmael, saying, Where has Ishmael gone? and she said, He has gone to the field to hunt, and Abraham was still mounted upon the camel, for he would not get off to the ground as he had sworn to his wife Sarah that he would not get off from the camel.

26 And Abraham said to Ishmael's wife, My daughter, give me a little water that I may drink, for I am fatigued from the journey.

27 And Ishmael's wife answered and said to Abraham, We have neither water nor bread, and she continued sitting in the tent and did not notice Abraham, neither did she ask him who he was.

28 But she was beating her children in the tent, and she was cursing them, and she also cursed her husband Ishmael and reproached him, and Abraham heard the words of Ishmael's wife to her children, and he was very angry and displeased.

29 And Abraham called to the woman to come out to him from the tent, and the woman came and stood opposite to Abraham, for Abraham was still mounted upon the camel.

30 And Abraham said to Ishmael's wife, When thy husband Ishmael returneth home say these words to him,

31 A very old man from the land of the Philistines came hither to seek thee, and thus was his appearance and figure; I did not ask him who he was, and seeing thou wast not here he spoke unto me and said, When Ishmael thy husband returneth tell him thus did this man say, When thou comest home put away this nail of the tent which thou hast placed here, and place another nail in its stead.

32 And Abraham finished his instructions to the woman, and he turned and went off on the camel homeward.

33 And after that Ishmael came from the chase he and his mother, and returned to the tent, and his wife spoke these words to him,

34 A very old man from the land of the Philistines came to seek thee, and thus was his appearance and figure; I did not ask him who he was, and seeing thou wast not at home he said to me, When thy husband cometh home tell him, thus saith the old man, Put away the nail of the tent which thou hast placed here and place another nail in its stead.

35 And Ishmael heard the words of his wife, and he knew that it was his father, and that his wife did not honor him.

36 And Ishmael understood his father's words that he had spoken to his wife, and Ishmael hearkened to the voice of his father, and Ishmael cast off that woman and she went away.

37 And Ishmael afterward went to the land of Canaan, and he took another wife and he brought her to his tent to the place where he then dwelt.

38 And at the end of three years Abraham said, I will go again and see Ishmael my son, for I have not seen him for a long time.

39 And he rode upon his camel and went to the wilderness, and he reached the tent of Ishmael about noon.

40 And he asked after Ishmael, and his wife came out of the tent and she said, He is not here my lord, for he has gone to hunt in the fields, and to feed the camels, and the woman said to Abraham, Turn in my lord into the tent, and eat a morsel of bread, for thy soul must be wearied on account of the journey.

41 And Abraham said to her, I will not stop for I am in haste to continue my journey, but give me a little water to drink, for I have thirst; and the woman hastened and ran into the tent and she brought out water and bread to Abraham, which she placed before him and she urged him to eat, and he ate and drank and his heart was comforted and he blessed his son Ishmael.

42 And he finished his meal and he blessed the Lord, and he said to Ishmael's wife, When Ishmael cometh home say these words to him,

43 A very old man from the land of the Philistines came hither and asked after thee, and thou wast not here; and I brought him out bread and water and he ate and drank and his heart was comforted.

44 And he spoke these words to me: When Ishmael thy husband cometh home, say unto him, The nail of the tent which thou hast is very good, do not put it away from the tent.

45 And Abraham finished commanding the woman, and he rode off to his home to the land of the Philistines; and when Ishmael came to his tent his wife went forth to meet him with joy and a cheerful heart.

46 And she said to him, An old man came here from the land of the Philistines and thus was his appearance, and he asked after thee and thou wast not here, so I brought out bread and water, and he ate and drank and his heart was comforted.

47 And he spoke these words to me, When Ishmael thy husband cometh home say to him, The nail of the tent which thou hast is very good, do not put it away from the tent.

48 And Ishmael knew that it was his father, and that his wife had honored him, and the Lord blessed Ishmael.

Book of Jasher - The Book of Jasher - Apps on Google Play
 
Back
Top Bottom