Boxer ni mchezo ambao unahitaji umpelekee mashambulizi mwenzako ili wewe ushinde. Lakini pamoja na mashambulizi hayo, yupo refa na Masecond ambao wote kazi yao ni kuwalinda mabondia ndani ya uwanja.
Lakini ni kazi ya bondia pia yeye mwenyewe kujilinda. Lakini la ziada kabisa ambalo mabondia nadhani wengi hawalijui ni kumlinda pia mpinzani wako pale inapofikia hatua ya hatari kama hatua ya kumuona jamaa anaelekea kupoteza fahamu au kufa.
Tarehe 16 mwezi wa kwanza Mwaka 1999 Mike Tyson alipigana na Francois Botha na akampiga Botha akadondoka vibaya sana, lakini Tyson hakushangilia. Alichokifanya alishirikiana na refa kumnyanyua Botha ili asianguke tena.
Huo unaitwa ubinadamu ndani ya mchezo, ule ni mchezo na sio vita.
Alichokifanya Ibrahim Classic kwa mpinzani wake Allan Pinna sio kitendo cha kiungwana kabisa, na sijapenda maana Pinna alikuwa keshalewa anaenda chini mwenyewe Ibrahim Classic alikuwa na haja gani ya kutumia nguvu za ziada kumpeleka chini haraka?
Lakini leo hii watu wapo kimya kwa vile labda Ibrahim Classic ni bondia wetu kampiga bondia wa kigeni. Imagine kama pinna ndiyo angempiga jamaa hivyo.
Leo hii watu wengi wangemtukana sana Pinna, tungekilaani kile kitendo kwa nguvu zote.
Pinna jana katoka salama ndani ya uwanja hilo ni jambo la kushukuru, ila kama Pinna atakuja kufa kutokana na athari zilizotokana na lile pambano nadhani Ibrahim Classic hawezi kukaa kwa amani kamwe katika maisha yake.
Mabondia wanatakiwa wapewe elimu ya kujilinda, kuwalinda wapinzani wao na utu na ubinadamu ndani ya ulingo.
Boxer ni mchezo ambao unaitaji umpelekee mashambulizi mwenzako ili wewe ushinde. lakini pamoja na mashambulizi hayo yupo refa na masecond ambao wote kazi yao ni kuwalinda mabondia ndani ya uwanja...
Boxer ni mchezo ambao unaitaji umpelekee mashambulizi mwenzako ili wewe ushinde. lakini pamoja na mashambulizi hayo yupo refa na masecond ambao wote kazi yao ni kuwalinda mabondia ndani ya uwanja...
Nimetokea kumchukia huyo ibra tokea jana alifanye Hilo tukio baya sna .kila saa Hilo tukio linanirudia na naumia sna naisi yule bondia hatakuwa sawa na hata pigana Tena Kama akipona mnk amepata shambulio baya San
Wakati pambano linaendelea mlianza kusema ibra kapigwa while alikuwa ana score vizuri tu. Kapiga mtu mnaanza ooh ibra kazingua!
Mara ngapi mandonga kapigwa vitasa kama vile anaanguka hajielewi na mpinzani wake anashangalia hamjawahi kulisemea? Wabongo mtaacha lini shobo na kuthamini vyenu! Zile ngumi sio rede
Nimetokea kumchukia huyo ibra tokea jana alifanye Hilo tukio baya sna .kila saa Hilo tukio linanirudia na naumia sna naisi yule bondia hatakuwa sawa na hata pigana Tena Kama akipona mnk amepata shambulio baya San
Nimetokea kumchukia huyo ibra tokea jana alifanye Hilo tukio baya sna .kila saa Hilo tukio linanirudia na naumia sna naisi yule bondia hatakuwa sawa na hata pigana Tena Kama akipona mnk amepata shambulio baya San
ibra alikuwa kashamaliz finishing alichez foul ambay ilkuw inapelk hatar kwa mpinzan wake eb tazma vzr hy video boss.... acha kutetea vitu tazm vzr mtazam pinna mtazm ibra mtazm na refree njau
Upo sahihi 100% hata mimi kijiweni tumelizungumza sana. Ibra na kambi yake hawakufanya fea. Ona yule mhindi alivyomtandika ndugu yetu jamaa alivyoona anaanguka hakumfuata akaweka mikono nyuma akatulia kabisa. Na hata mwisho alishangilia kishkaji sana kwa kunyanyua bendera ya India akatoka ulingoni.