Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Siasa imeathithiri mzunguko mzima wa maisha dogoAlifanya kitendo ambacho si cha kiuungwana hata kidogo . Na akawa anashangilia kama kichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa imeathithiri mzunguko mzima wa maisha dogoAlifanya kitendo ambacho si cha kiuungwana hata kidogo . Na akawa anashangilia kama kichaa
Hata mimi naunga mkono hoja. Labda Ibra alitakiwa tu aoneshe uungwana kwa kutoshangilia sana, japo hata kushangilia siyo kosa.Mabondia wote Wana Akili timamu, Mimi nawashauri Mabondia wote nchini, kama refa hajaingilia kati Wala Kona ya mpinzani wako haijarusha taulo. Usije ukafanya kosa la kujifanya msamaria mwema ulingoni, utakuja kujuta.
Tandika mbaka mchezo usimamishwe, Aya mambo ya mitandaoni ya acheni uku mitandaoni, mtakuja kunishukuru.