Ibrahim Class 'Mawe' na mabondia wengine wa Tanzania wanatakiwa kujifunza baada ya tukio alilolifanya Ibrahim

kabisa ile ya muhind ilikuwa fair ndan ya game
 
Kulikuwa hakuna ulazima wa ile ngumi ilihali jamaa alikuwa anaenda chini mwenyewe.. Ibra amekosea sana, mtu anakufa kimasikhara hivi hivi
 
Kuhusu ngumi ya mwisho Ibra hana kosa maana bondia alikuwa bado hajadondoka ilikuwa ni jukumu la refa kuingillia kati na kumaliza pambano.Ibra amekosa utu pale tu alipokuwa anashangilia kwa nguvu wakati mwenzake anapambania uhai pale chini. Nadhani pale,alipaswa hata kwenda kutoa msaada.
 
Nilidhani mimi peke yangu nililiona hili. Baada ya ngumi ya kwanza jamaa alipoteza fahamu na alikuwa akielekea kudondoka chini, sioni sababu ni kwa nini Ibrahimu aliendelea kumshambulia. Hii ilisikitisha sana
 
kwahy mabondia wetu wanaitaj elimu ya utu lakni ibra nadhan aliona mkimbio wa referee kuzuia fighting ila alimuwah akaend kurush ngumi
 
Nilidhani mimi peke yangu nililiona hili. Baada ya ngumi ya kwanza jamaa alipoteza fahamu na alikuwa akielekea kudondoka chini, sioni sababu ni kwa nini Ibrahimu aliendelea kumshambulia. Hii ilisikitisha sana
mabondia na wanamichezo wote wanahitaj somo la utu
 
Tukisema CCM kumejaa Mazuzu mnabisha. Sasa huyu utamweka kundi gani?
 
Mabondia wote Wana Akili timamu, Mimi nawashauri Mabondia wote nchini, kama refa hajaingilia kati Wala Kona ya mpinzani wako haijarusha taulo. Usije ukafanya kosa la kujifanya msamaria mwema ulingoni, utakuja kujuta.
Tandika mbaka mchezo usimamishwe, Aya mambo ya mitandaoni ya acheni uku mitandaoni, mtakuja kunishukuru.
 
Nilidhani mimi peke yangu nililiona hili. Baada ya ngumi ya kwanza jamaa alipoteza fahamu na alikuwa akielekea kudondoka chini, sioni sababu ni kwa nini Ibrahimu aliendelea kumshambulia. Hii ilisikitisha sana
Ibrahim asubirie karma na yeye (in mayala voice
 
Watanzania wengi wamelaani lile tukio pia na kumsifia yule refa mwanamke.
 
Tanzania kwa ujumla hatujui thamani ya utu.
Vinginevyo Ndugai asingemfanyia Lissu ukatili na watu walikaa kimya kama hakuna kilichotokea.

Hapohapo kuna wabunge hawana chama wanakula good time.

Chunguza vizuri utajua tu hatuna utu
Yaani ulishakuwa muathirika wa siasa mavi za bongo Kila Mahalia ni siasa tu
 
Alifanya kitendo ambacho si cha kiuungwana hata kidogo . Na akawa anashangilia kama kichaa
 
Alifanya kitendo ambacho si cha kiuungwana hata kidogo . Na akawa anashangilia kama kichaah
 
Kuna mtu huko Chadema kakutundika mimba kisha kakutolea nje mpuuzi mmoja wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…