Mabondia wote Wana Akili timamu, Mimi nawashauri Mabondia wote nchini, kama refa hajaingilia kati Wala Kona ya mpinzani wako haijarusha taulo. Usije ukafanya kosa la kujifanya msamaria mwema ulingoni, utakuja kujuta.
Tandika mbaka mchezo usimamishwe, Aya mambo ya mitandaoni ya acheni uku mitandaoni, mtakuja kunishukuru.