Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu watanzania ni mambumbumbu, ni rahisi kuyaigizia na yakakuamini. Yule Mzee alikuwa muigizaji hodari sana.Magufuri kakaa madarakani miaka 6 mbona hakupunguza matumizi ya anasa kwa viongozi?
Mbona hakupunguza mishaara ya wabunge ,mawaziri, na maafisa wakuu wa serikali?
Mbona hakuanzisha sheria ya viongozi kulipa kodi kwenye mishaara yao?
Mbona hakupiga marufuku utamaduni wa viongozi kutembea na rundo ya magari?
Mbona hakusitisha manunuzi ya V8 ?
Kipindi chake si ndo akina Makonda walijipatia utajiri wa ghafla usio julikana wameupata kwa njia gani?
Kipindi chake si ndo wanasiasa wa mpinzani walipatia mabilion ya pesa kupitia ununuzi wa wapinzani kuunga mkono juhudi?
Chini ya utawala wake CAG alifichua upotevu wa tilion 1.5 badala ampongeze kwa kufichua ufisadi yeye akamfukuza tena kwa dhihaka na kejeli.
Sasa unamlinganisha Magufuri na huyo dogo kwa lipi hasa?
Nyinyi wafuasi wa jiwe mnamatatizo.
Sasa tuna mama tunamlinda.Tanzania tulimpata Magufuli tukashindwa kumlinda basi tulieni
Ziko wap mkuu mbona umeongea bila ushahidRais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya majadiliano na wamama wakulima. Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
Baada ya wanasiasa kuonekana kutoridhika na kushushiwa mishahara amewafuta kazi na kuwapa wanajeshi kazi katika baraza la mawaziri. Amefuta mpango wa manunuzi ya magari ya kifahari na sasa wanasiasa wananunua gari za kawaida kabisa zisizotumia umeme.
Kama haya yamefanyika Burkinafaso penye makundi ya uhalifu kwanini Tanzania na nchi za Afrika zinapendelea kuishi kwa misaada? Hii misaada itatupa uhuru?
Na ndio maana wana siasa wanatupeleka wanavyo taka kama mambuzi.Mkuu watanzania ni mambumbumbu, ni rahisi kuyaigizia na yakakuamini. Yule Mzee alikuwa muigizaji hodari sana.
Inaumzia sana kwakweliNa ndio maana wana siasa wanatupeleka wanavyo taka kama mambuzi.
Bwawa la umeme kaliacha halijafika hata %50 kaja kulimalizia bibi kiziwi.Magufuri miaka 5 tu lakin
Ndege kama zote
Bwawa la umeme kubwa Dunia nzima
Umeme haukukatika
Tren ya umeme ya bibabe sana
Kujenga ikulu ya kibabe sana
Kuhamisha makao makuu kibabe sana
Fly over za kibabe sana
Madaraja makubwa ya kibabe sana
Huduma nzuri kwenye taasisi za serikali, ulikuwa ukifika unahudumiwa kama MFALME leo hii ukifika unaonekana kama panya tu
Sasa mbona kipindi chake ndo mazao yalikosa soko na kazi ya kilimo ikageuka kuwa kazi ya laana?Magufuli mbona alifanya mengi ndani ya muda mfupi! Anachofanya yule Rais ni kama alichokuwa anafanya Nyerere. Uhamasishaji watu wajiletee maendeleo, wawe na chakula, kile zidi anauza nje!
Jana nyie mlikuwa na Karume stadium na kwingineko, mkigawana posho, yeye ametembelea wakulima ndani ndani vijijini huko kuwatia moyo wamama na wanaume wazalishe zaidi chakula na mazao ya biashara! Nyie makongamano, .kupanga ni kuchagua!
Magufuli alikuwa anatoa wapi hela?Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya majadiliano na wamama wakulima. Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
Baada ya wanasiasa kuonekana kutoridhika na kushushiwa mishahara amewafuta kazi na kuwapa wanajeshi kazi katika baraza la mawaziri. Amefuta mpango wa manunuzi ya magari ya kifahari na sasa wanasiasa wananunua gari za kawaida kabisa zisizotumia umeme.
Kama haya yamefanyika Burkinafaso penye makundi ya uhalifu kwanini Tanzania na nchi za Afrika zinapendelea kuishi kwa misaada? Hii misaada itatupa uhuru?
Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya majadiliano na wamama wakulima. Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
Baada ya wanasiasa kuonekana kutoridhika na kushushiwa mishahara amewafuta kazi na kuwapa wanajeshi kazi katika baraza la mawaziri. Amefuta mpango wa manunuzi ya magari ya kifahari na sasa wanasiasa wananunua gari za kawaida kabisa zisizotumia umeme.
Kama haya yamefanyika Burkinafaso penye makundi ya uhalifu kwanini Tanzania na nchi za Afrika zinapendelea kuishi kwa misaada? Hii misaada itatupa uhuru?
Tafsiri ya Roho ya kutu ya Mtanzania inaanzia hapo.Afrika hela zipo tatizo ni vipaumbele vyetu tu. China ubunge ni kazi ya kujitolea, wabunge wanalipiwa usafiri wa go and return na posho ya malazi kipindi cha mikutano ya bunge. Mikutano ikiisha wanarudi mtaani kuendelea na shughuli zao za kuwaingizia kipato.
Hapa kwetu tuna wabunge 390 wapo kwenye payroll ya serikali na kila mmoja anakunja kiinua mgongo cha milioni 200 baada ya miaka mitano. Halafu bila aibu tunaenda china kuomba misaada
Naaam mkuu umeandika sana sema hatujitambui kama taifaAfrika hela zipo tatizo ni vipaumbele vyetu tu. China ubunge ni kazi ya kujitolea, wabunge wanalipiwa usafiri wa go and return na posho ya malazi kipindi cha mikutano ya bunge. Mikutano ikiisha wanarudi mtaani kuendelea na shughuli zao za kuwaingizia kipato.
Hapa kwetu tuna wabunge 390 wapo kwenye payroll ya serikali na kila mmoja anakunja kiinua mgongo cha milioni 200 baada ya miaka mitano. Halafu bila aibu tunaenda china kuomba misaada
Sio sisi sema ccmNaaam mkuu umeandika sana sema hatujitambui kama taifa