BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Sisi mkuu maana tuna angalia namna pesa na rasilimali za Tanganyika zinavyo tapanywaSio sis I same ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi mkuu maana tuna angalia namna pesa na rasilimali za Tanganyika zinavyo tapanywaSio sis I same ccm
Kati ya vitu huwa nashangaa ni hawa proMagu wanavyomfananisha na Trump au huyu mbukinabe.Magufuri alikaa madarakani miaka 6,mbona hakupunguza mishaara ya kufuru ya wabunge ,mawaziri na maofisa wengine wa serikali?
Mbona hakuweka sheria ya mishaara ya viongozi kukatwa kodi?
Mbona hakusitisha ununuzi wa Mav8?
Mbona hakukataza misafara ya viongozi?
Kwanini alimfukuza CAG aliye fichua upotevu wa pesa za uma wa trion1.5?
Kwa nini alikuwa anachota pesa za walipa kodi wa Tz anaenda kuwahonga viongozi wa upinzani ili wahamie ccm?
Sasa huo uadilifu wa Magufuri ulikuwa wapi?
Tukitaka kusema kunatekwa tunapotezwa tunafungwa tunauliwa😭😭😭Sisi mkuu maana tuna angalia namna pesa na rasilimali za Tanganyika zinavyo tapanywa
Kweli mkuu. Yaan tumefungwa minyororo sio poa ila Mungu awe nasiTukitaka kusema kunatekwa tunapotezwa tunafungwa tunauliwa😭😭😭
Wafuasi wa Magufuri ni mfano harisi ya upumbavu wa mtu nweusi.Kati ya vitu huwa nashangaa ni hawa proMagu wanavyomfananisha na Trump au huyu mbukinabe.
Yule bwana alikua fundi wa propaganda kuwahadaa hao wanaojiita walalahoi ila deepdown hakusolve matatizo moja kwa moja zaidi ya kucheza na media tu.
Hakuna asiejua kufuru za mishahara ya wakurugenzi, mawaziri, wabunge nk, serikali inaendeshwa kwa gharama kubwa mno.
Na ni wengi na huwaambii kitu kuhusu huyo mtu ila binafsi naona ni walewale tu hamna alichobadilisha.Wafuasi wa Magufuri ni mfano harisi ya upumbavu wa mtu nweusi.
JPM wa kujenga International Airport kijijini kwake? You guys are jokers!!JPM angekuwa hai wangeshikiana katika kuijenga Africa mpya.
Tatizo mabeberu yanammulika kuangalia atakosea wapi wampige pigo moja la kummaliza halafu waweke mtu wao.Ingawa masikini wote na ombaomba mnapewa misaada, lakini wapo wanaowajali watu wao kwa hiyo misaada.
Na yapo majizi yanayokula hizo pesa bila kujali watu wake
Huyu kijana kaamua hizo za misaada na bajeti ya nchi kuitumia vizuri
Wanaweza kuacha kuwa tengemezi kwa asilimia kubwa sana
Amepunguza mishahara kwa viongozi wakubwa na kuwaongezea wafanyakazi
Kama na sisi hela za misaada ambazo wanatufanya wajinga na kusema ni misaada ya kujengea vyoo tu, basi tutaendelea kuwa masikini miaka 200 ijayo
Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya majadiliano na wamama wakulima. Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
Baada ya wanasiasa kuonekana kutoridhika na kushushiwa mishahara amewafuta kazi na kuwapa wanajeshi kazi katika baraza la mawaziri. Amefuta mpango wa manunuzi ya magari ya kifahari na sasa wanasiasa wananunua gari za kawaida kabisa zisizotumia umeme.
Kama haya yamefanyika Burkinafaso penye makundi ya uhalifu kwanini Tanzania na nchi za Afrika zinapendelea kuishi kwa misaada? Hii misaada itatupa uhuru?
Wabaya sana haoTatizo mabeberu yanammulika kuangalia atakosea wapi wampige pigo moja la kummaliza halafu waweke mtu wao.
Wewe wadhani kama ile misafara ya magari mia na posho za wasanii zikielekezwa kwenye mambo ya maana zinaweza kufanya vitu gani mkuu?Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya majadiliano na wamama wakulima. Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
Baada ya wanasiasa kuonekana kutoridhika na kushushiwa mishahara amewafuta kazi na kuwapa wanajeshi kazi katika baraza la mawaziri. Amefuta mpango wa manunuzi ya magari ya kifahari na sasa wanasiasa wananunua gari za kawaida kabisa zisizotumia umeme.
Kama haya yamefanyika Burkinafaso penye makundi ya uhalifu kwanini Tanzania na nchi za Afrika zinapendelea kuishi kwa misaada? Hii misaada itatupa uhuru?
Yoote uliyotaja hakufanya?Magufuri kakaa madarakani miaka 6 mbona hakupunguza matumizi ya anasa kwa viongozi?
Mbona hakupunguza mishaara ya wabunge ,mawaziri, na maafisa wakuu wa serikali?
Mbona hakuanzisha sheria ya viongozi kulipa kodi kwenye mishaara yao?
Mbona hakupiga marufuku utamaduni wa viongozi kutembea na rundo ya magari?
Mbona hakusitisha manunuzi ya V8 ?
Kipindi chake si ndo akina Makonda walijipatia utajiri wa ghafla usio julikana wameupata kwa njia gani?
Kipindi chake si ndo wanasiasa wa mpinzani walipatia mabilion ya pesa kupitia ununuzi wa wapinzani kuunga mkono juhudi?
Chini ya utawala wake CAG alifichua upotevu wa tilion 1.5 badala ampongeze kwa kufichua ufisadi yeye akamfukuza tena kwa dhihaka na kejeli.
Sasa unamlinganisha Magufuri na huyo dogo kwa lipi hasa?
Nyinyi wafuasi wa jiwe mnamatatizo.
Ukiona kobe kapanda juu ya mti, ujuwe mwwenye kobe yuko jirani. Hakuna Traore bila RussiaHuyo muuza sura kwenye mitandao na magwanda ya kijeshi alichukua uongozi kimabavu, toa takwimu na ushahidi achana na hizi ngonjera.
Si unajua huku kwetu furaha na akili ya mwanamke ameiwekeza kukopa kila mara kwenye vikoba.Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini.
Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya majadiliano na wamama wakulima. Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
Baada ya wanasiasa kuonekana kutoridhika na kushushiwa mishahara amewafuta kazi na kuwapa wanajeshi kazi katika baraza la mawaziri. Amefuta mpango wa manunuzi ya magari ya kifahari na sasa wanasiasa wananunua gari za kawaida kabisa zisizotumia umeme.
Kama haya yamefanyika Burkinafaso penye makundi ya uhalifu kwanini Tanzania na nchi za Afrika zinapendelea kuishi kwa misaada? Hii misaada itatupa uhuru?
Kabisa.! Na kati ya mambo mabeberu hawataki kuyaona ni waafrika kujitegemea kiuchumi ! Wanataka kila siku twende kuwapigia magoti , kuwaeleza shida zetu kisha watupe misaada yenye masharti ya ajabuajabu yatakayopelekea kuharibu tamaduni zetu, Mila na desturi zetu.Wabaya sana hao
Wazungu wanataka watutawale maisha