Bwawa la umeme kaliacha halijafika hata %50 kaja kulimalizia bibi kiziwi.
Tren ya umeme miaka 6 kaiacha morogoro bibi kiziwi ndani ya miaka mitatu tu ameipeleka mpaka dodoma.
Fly over jiwe anaingia madarakani alikuta mradi umesha jengwa kwa zaidi ya %60 na penyewe sio pesa za serikali ya Tz bali ni msaada kutoka Japan.
Madaraja daraja la kigamboni alikuta limekamilika kwa %97 yeye alikuja kulizindua tu, daraja la busisi kaacha likiwa %45 kaja kulimalizia bibi kiziwi, daraja la Tanzaneit nadhani ndo lilijengwa na jiwe kwa asilimia 100.
Kuhusu ndege na kujenga ikulu ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kusifia miladi ya kipumbavu kuisi hicho,nchi yenye changamoto rukuki, nchi ambayo zaidi ya %70 ya watu wake hawana maji safi na salama,shule za serikali zimechakaa utadhani mabanda ya nguruwe, hazina madawati hazina vitabu, walimu wanalipwa miashaara ya 500,000, ukosefu wa ajila , nchi iliyo jaa barabara mbovu kila kona ya nchi, alafu eti unachukua matirion ya pesa kununua ndege ambazo zipo zinaitia nchi hasara ya mabilion ya fedha kila mwaka na kwenda kujenga Ikulu ya kifahari kwa ajili ya kujifaharisha.
Kabla ya kujiuliza kuhusu hilo ungejiuliza kwanza Kikwete alipata wapi pesa za kuajili maefu ya wahitimu kila mwaka, kujenga mtandao mkubwa sana wa lami, kujenga shule za kata, kuanzisha mradi wa REA ulio saidia kusambaza umeme vijijini, na bado mtaani kukawa na mzunguko mkubwa wa fedha.