Ibrahim Traore anatoa wapi fedha za kufanya maendeleo makubwa hivi Burkina Fasso?

Tanzania deni ni TIRILIONI 100 na hakuns jambo la maana wamefanya.
 
Mkuu watanzania ni mambumbumbu, ni rahisi kuyaigizia na yakakuamini. Yule Mzee alikuwa muigizaji hodari sana.
 
Ziko wap mkuu mbona umeongea bila ushahid
 
Ukifanya utafiti kujua nchi zingine zinavyofanya mambo yao utahitimisha ya kuwa Tanzania ni taifa la wapumbavu
 
Magufuli mbona alifanya mengi ndani ya muda mfupi! Anachofanya yule Rais ni kama alichokuwa anafanya Nyerere. Uhamasishaji watu wajiletee maendeleo, wawe na chakula, kile zidi anauza nje!

Jana nyie mlikuwa na Karume stadium na kwingineko, mkigawana posho, yeye ametembelea wakulima ndani ndani vijijini huko kuwatia moyo wamama na wanaume wazalishe zaidi chakula na mazao ya biashara! Nyie makongamano, .kupanga ni kuchagua!
 
Bwawa la umeme kaliacha halijafika hata %50 kaja kulimalizia bibi kiziwi.
Tren ya umeme miaka 6 kaiacha morogoro bibi kiziwi ndani ya miaka mitatu tu ameipeleka mpaka dodoma.

Fly over jiwe anaingia madarakani alikuta mradi umesha jengwa kwa zaidi ya %60 na penyewe sio pesa za serikali ya Tz bali ni msaada kutoka Japan.
Madaraja daraja la kigamboni alikuta limekamilika kwa %97 yeye alikuja kulizindua tu, daraja la busisi kaacha likiwa %45 kaja kulimalizia bibi kiziwi, daraja la Tanzaneit nadhani ndo lilijengwa na jiwe kwa asilimia 100.

Kuhusu ndege na kujenga ikulu ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kusifia miladi ya kipumbavu kuisi hicho,nchi yenye changamoto rukuki, nchi ambayo zaidi ya %70 ya watu wake hawana maji safi na salama,shule za serikali zimechakaa utadhani mabanda ya nguruwe, hazina madawati hazina vitabu, walimu wanalipwa miashaara ya 500,000, ukosefu wa ajila , nchi iliyo jaa barabara mbovu kila kona ya nchi, alafu eti unachukua matirion ya pesa kununua ndege ambazo zipo zinaitia nchi hasara ya mabilion ya fedha kila mwaka na kwenda kujenga Ikulu ya kifahari kwa ajili ya kujifaharisha.

Kabla ya kujiuliza kuhusu hilo ungejiuliza kwanza Kikwete alipata wapi pesa za kuajili maefu ya wahitimu kila mwaka, kujenga mtandao mkubwa sana wa lami, kujenga shule za kata, kuanzisha mradi wa REA ulio saidia kusambaza umeme vijijini, na bado mtaani kukawa na mzunguko mkubwa wa fedha.
 
Sasa mbona kipindi chake ndo mazao yalikosa soko na kazi ya kilimo ikageuka kuwa kazi ya laana?
 
Magufuli alikuwa anatoa wapi hela?
 
Ameshusha mishahara ya wanasiasa na kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa chini wakiwemo walimu.
 
Tafsiri ya Roho ya kutu ya Mtanzania inaanzia hapo.
Mkuu tuna pesa nyingi saana na utajiri mkubwa sana.
 
Naaam mkuu umeandika sana sema hatujitambui kama taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…