Ibrahim Traore anatoa wapi fedha za kufanya maendeleo makubwa hivi Burkina Fasso?

Kati ya vitu huwa nashangaa ni hawa proMagu wanavyomfananisha na Trump au huyu mbukinabe.

Yule bwana alikua fundi wa propaganda kuwahadaa hao wanaojiita walalahoi ila deepdown hakusolve matatizo moja kwa moja zaidi ya kucheza na media tu.

Hakuna asiejua kufuru za mishahara ya wakurugenzi, mawaziri, wabunge nk, serikali inaendeshwa kwa gharama kubwa mno.
 
Wafuasi wa Magufuri ni mfano harisi ya upumbavu wa mtu nweusi.
 
Tatizo mabeberu yanammulika kuangalia atakosea wapi wampige pigo moja la kummaliza halafu waweke mtu wao.
 
Sawa Magufuli nae alikua na mabaya yake lakini kwenye Umeme aliupiga mwingi mno asaiv kama leo Jumapili umekatika kuanzia Asubuhi mpaka jioni hii daaah Rest In Peace Magu kwenye Umeme nitakukumbuka Daima.
 
Sasa version ya Traole wa Bongo ndo Lissu. Atabadilisha mfumo mzima!
 

Huyo muuza sura kwenye mitandao na magwanda ya kijeshi alichukua uongozi kimabavu, toa takwimu na ushahidi achana na hizi ngonjera.
 
Wewe wadhani kama ile misafara ya magari mia na posho za wasanii zikielekezwa kwenye mambo ya maana zinaweza kufanya vitu gani mkuu?
Si kwamna afrika pesa hakuna, bali viongozi wa afrika wana matumizi ya kufuru.
Mtu atakwambia pesa za kujenga shule hakuna halafu atatoa pesa za sherehe na posho za wasanii.
 
Mkuu umeongea point tupu wafuasi wengi wa mungu wa masikini ni wale ambao hawatumii akili ya kawaida kama uliyotumia wewe wao walisombwa na upepo uliovuma wa kusifia. Huwezi kumpata mfuasiwake hata mmoja ambae amewahi kufikilia mambo nyeti kama haya.
Nakumbuka sikumoja alisimamishwa wapi kusikiliza kero za raia nadhani yule raia hakua miongoni mwa wale wanaopangwa yeye alilalamika gharama za huduma ya choo cha kulipia kupanda kutoka sh 300 hadi sh 500 yeye rais wa wanyonge akamjibu kama unaona 500 ni kubwa basi baki na mavi yako tumboni πŸ˜„ πŸ˜† πŸ˜‘ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜… πŸ˜„
 
Yoote uliyotaja hakufanya?

Mbona kelele zilijaa vinywani mwenu?
 
Huyo muuza sura kwenye mitandao na magwanda ya kijeshi alichukua uongozi kimabavu, toa takwimu na ushahidi achana na hizi ngonjera.
Ukiona kobe kapanda juu ya mti, ujuwe mwwenye kobe yuko jirani. Hakuna Traore bila Russia
 
Si unajua huku kwetu furaha na akili ya mwanamke ameiwekeza kukopa kila mara kwenye vikoba.
Na akiisha kupata hiyo mikopo anatengeneza mikanga na mavitenge yenye mapicha picha sijui ya bi chura kiziwi, mara anunue maligo, akigeuka huku ananunua maLC 300, au G700 mupyaa.

Miaka mitano ijayo jua litawawakia mara 10 ya hili la sasa.
 
Wabaya sana hao
Wazungu wanataka watutawale maisha
Kabisa.! Na kati ya mambo mabeberu hawataki kuyaona ni waafrika kujitegemea kiuchumi ! Wanataka kila siku twende kuwapigia magoti , kuwaeleza shida zetu kisha watupe misaada yenye masharti ya ajabuajabu yatakayopelekea kuharibu tamaduni zetu, Mila na desturi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…