Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254