Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

Huyu jamaa ni dikteta uchwara, mimi nashangaa sana vijana wa chadema wanamshabikia.

Hata JIWE nje ya nchi alikuwa anasifiwa, ila sisi wenyewe ndio tuliupata mziki wake.
 
Kwa hiyo yeye ni social media creation tu na hana lolote la maana wala hajafanya chochote cha ajabu.

Anapaishwa kwenye social media tu.
Jambo kubwa la maana aliliofanya Traole kwa sasa, ni kujitoa ECOWAS, kuunda SAHEL.

Kupunguza utegemezi kwa France na

Kujaribu ku-renogotiate mikataba ya madini.
 
Huyu jamaa ni dikteta uchwara, mimi nashangaa sana vijana wa chadema wanamshabikia.

Hata JIWE nje ya nchi alikuwa anasifiwa, ila sisi wenyewe ndio tuliupata mziki wake.
Magufuli naye kuna kipindi alikuwa viral sana kwenye mitandao!

Sema tu kipindi chake AI haikuwepo kivile.
 
Back
Top Bottom