Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
- #141
SMD…Punguza hasira then tafuta pesa...
SMD…Punguza hasira then tafuta pesa...
Wakoloni wamekaa hapa tangu 1800's hadi 196+kwa hiyo bado tu unalaumu wakoloni? wakoloni hapa kwetu walikaa miaka chini ya 50 , hakukuwa na maisha kabla ya hapo hadi ulaumu mkoloni aliyekaa only 50 years kwa kila kikutokeacho maishani mwako? vp waarabu walioishi hapa miaka karibia 1000? hao ni unawa absolve? Wajerumani walikaa kama miaka kama 20 hapa kwetu hata ccm imekaa zaidi ya hapo madarakani, iweje uwalaumu for everything miaka 100 baadaye ? isitoshe mtu anaweza tu kupandiza hiyo unayoiita inferiority complex kwako kama wewe mwenyewe ni inferior na unajiona na kujichukulia hivyo …
Yeye hausiki kwenye huo upuuzi🤣🤣.
Hakuna maendeleo yoyote huko wewe.
Dogo ni mshamba tu na ni creation wa social media.
Kumbuka ya kuwa waarabu walikuwa na njia zao za kupata hao watumwa hawakuingia tu sehemu na kuwasomba watu kuna muda walikuwa wanawatumia wafungwa na watu waliofanya uhalifu na pia waliingia mikataba na machifu.waarabu hawakuwavamia na kuwaingilia unamaanishha nini? vp khs caravan ya waliobebeshwa pembe za ndovu zaidi ya km 1000 kwa mguu ktk kigoma hadi bagamoyo? yote hayo kwako ni sawa? waliouzwa utumwa na kumbukumbu ziko soko la utumwa bagamoyo na zanzibar waliokufunga minyororo kuembezwa zaidi km 1000 kwa mguu yote ni sawa tu kwamba hawakukuingilia mambo yako ?
Je, yeye aliwahi kusema hivyo?I refuse to fall for fake narratives.
Traore is nothing but a hype job. A social media creation.
Eti alikataa mwaliko wa Trump 🤣.
Hata aibu hamna nyie watu.
TUMSIKIE AZIZ KEY 🔑 🗝️Kwani wabukinabe wenyewe wanasemaje??
Kumbuka ya kuwa waarabu walikuwa na njia zao za kupata hao watumwa hawakuingia tu sehemu na kuwasomba watu kuna muda walikuwa wanawatumia wafungwa na watu waliofanya uhalifu na pia waliingia mikataba na machifu.
Na sisemi ya kuwa waarabu hawakuwa na makosa. Ila hao wazungu na waarabu wote lao lilikuwa moja kututumikisha na kutuambukiza dini zao.
Huo uzushi unaousema mara nyingi unazushwa na watu wa nje ya nchi yake, unataka kuniambia anawalipa hao ili wazusheUmejuaje?
Wakoloni wamekaa hapa tangu 1800's hadi 196+
unasemaje miaka 50
Utumwa ulimalizwa na Industrial revolution yaani mapinduzi ya viwanda. Hao wajerumani walikuwa wakristo ila walishiriki kwenye slave trade hata Uingereza matajiri walikuwa na watumwa bila kusahau Marekani kipindi cha Trans Antlantic Slave Trade.watumwa ni sehemu moja, ila nyingine ni caravan iliyotoka kigoma hadi pwani zaidi km 1000 kwa mguu na mizigo walibebeshwa waafrika nankwa miaka mingi sana tu hiyo practice iliendelea hiyo iliisha baada tu ya Christians kuja, hata utumwa ulimalizwa na Christians pia, hivyo unaposema “kutupambikizia” dini zao haujui kwamba biashara ya utumwa iliisha baada ya Kanisa kuingilia atleast kwa hapa kwetu ?
Walau wewe umekiri kuwa sifa zake nyingi ni za uongo.Huo uzushi unaousema mara nyingi unazushwa na watu wa nje ya nchi yake, unataka kuniambia anawalipa hao ili wazushe
Hao ni Content Creators uchwara
Utumwa ulimalizwa na Industrial revolution yaani mapinduzi ya viwanda. Hao wajerumani walikuwa wakristo ila walishiriki kwenye slave trade hata Uingereza matajiri walikuwa na watumwa bila kusahau Marekani kipindi cha Trans Antlantic Slave Trade.
Industrial revolution pekee ndo ilimaliza slave trade kwakuwa demand ya slaves ilipungua.
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Nilimsikia akizungumzia swala la matibabu kwa wakina Mama wanaotaka kujifungua ni bure na swala la kuwa na viwanda vya ndani bila kutegemea vitu vingi kutoka nje bila kusahau kutohitaji msaada wa chakula kutoka nchi za Ulaya hasa Ukraine ishu ya Ngano wakati wao wapo vitani wanatoa ngano kwa Nchi ambazo hakuna vita mtu kama huyu ukimsikia anaongea hivi ukimponda jua tu una matatizo yako binafsi..Sema sera zake mbili zilizo nzuri kwa Africa
Hao waarabu walikuwa wanawachukua watumwa kutoka kwetu halafu wanawauzia wazungu. Ndo maana watu weusi walikuwa wengi nchi za Ulaya kuliko Uarabuni kwahiyo industrial revolution ilimaliza utumwa na si dini. Wamarekani wengi ni wakristo ila walishiriki Trans Atlantic slave trade.nafikiri unachanganya mambo, watumwa wa liouzwa kwetu hawakuwa na uhusiano wowote ule na industrial revolution kwani hawakupelekwa western countries na hata wanunuzi hawakuwa wazungu, usichanganye atlantic slave trade na biashara ya utumwa ya kwetu iliyofanywa na waarabu ni vitu viwili tofauti …
Hao waarabu walikuwa wanawachukua watumwa kutoka kwetu halafu wanawauzia wazungu. Ndo maana watu weusi walikuwa wengi nchi za Ulaya kuliko Uarabuni kwahiyo industrial revolution ilimaliza utumwa na si dini. Wamarekani wengi ni wakristo ila walishiriki Trans Atlantic slave trade.
Hakuna sehemu nimesema watumwa wetu walipelekwa USA nimesema tu US ina wakristo wengi ila bado walishiriki Trans Antlantic.siyo kweli, unachanganya, hakuna mtumwa ktk kwetu aliyepelekwa USA na Amerikas, unajua kwa nini kwanza iliitwa the atlantic slave trade ? biashara ya utumwa ya kwetu ni kama inayoendelea leo hii sudani, maurtania au mali haina uhusiano na western Christian countries ….