Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

Hata mimi nimeobserve hii kitu kwa mtoa mada. Halafu ana zile kauli za "miafrika ni mipumbavu sana".
Abadili rangi awe mzungu.
Hii ni sawa na kijana wa Kijijini akasoma baadaye akawa anawanyapapaa wazazi wake Mpaka anaogopa kurudi kwao Kuoa wale mabinti wa Kijijini kwao anageuka inakuwa songs of lawino, ocol and sijui clementine.
Liberation of fikra ni kujikubali who are you no matter what.
 
ujira wa sasa hivi mkubwa? upi huo unaoungelea? wabunge na wakuu wa mikoa au? hapa tunajadili vibarua waliojenga reli, barabara, madaraja, walifanya kazi kwenye estates za mikonge, kahawa, chai walioijenga nchi iliyopita kama tulivyoirithi leo leo hii hao vibarua ujira wao ukoje? na wanafanya kazi gani 100 years later?
Kipindi cha ukoloni watu walifanya kazi ngumu na bado walipokea manyanyaso na vipigo kwa hao wakoloni na bado walitozwa kodi vilevile. Na ikitokea vita wazee wetu walichukuliwa watake wasitake. Sawa sikuhizi wapo wanaolipwa ujira mdogo ila hawatozwi kodi na hawapokei manyanyaso na vipigo kama zamani.
 
Una uhakika hiyo video imepostiwa na Mwaafrika? Au slavery mentality inakusumbua? As long as wananchi wa nchi yake wanamkubali wewe ni kikaragosi huna impact yoyote kwa nchi yao!
Hata iwe imepandishwa na klingon, ukweli ni kwamba Traore ni hype job.
 
Kipindi cha ukoloni watu walifanya kazi ngumu na bado walipokea manyanyaso na vipigo kwa hao wakoloni na bado walitozwa kodi vilevile. Na ikitokea vita wazee wetu walichukuliwa watake wasitake. Sawa sikuhizi wapo wanaolipwa ujira mdogo ila hawatozwi kodi na hawapokei manyanyaso na vipigo kama zamani.

anyway kumaliza mjadala kwa maana naona unalaumu kila mtu kwa matatizo yaliyokuzuguka, nitakwambia alichoniambia tour guide siku nilipotembelea soko la utumwa nanukuu “ hapo ndipo watumwa waliwekwa na meli itua na kuchukuliwa, lkn nakwambia bro leo hii wazungu wakisema wangapi wanataka kwenda kuwa watumwa ulaya, hiyo meli itajaa hata watatumia nguvu kuzuia watu wasipande“ mwisho wa nukuu nini maoni kwa hayo kijana tour aliyoyasema ?
 
Hata iwe imepandishwa na klingon, ukweli ni kwamba Traore ni hype job.
Wewe umekuwa brainwashed na Wamarekani hivyo unawadharau ndugu zako Waafrika as if wewe ni Mzungu ndio maana una waponda waafrika wote. Endelea kubaki huko huko kwa wanaume wako.
 
anyway kumaliza mjadala kwa maana naona unalaumu kila mtu kwa matatizo yaliyokuzuguka, nitakwambia alichoniambia tour guide siku nilipotembelea soko la utumwa nanukuu “ hapo ndipo watumwa waliwekwa na meli itua na kuchukuliwa, lkn nakwambia bro leo hii wazungu wakisema wangapi wanataka kwenda kuwa watumwa ulaya, hiyo meli itajaa hata watatumia nguvu kuzuia watu wasipande“ mwisho wa nukuu nini maoni kwa hayo kijana tour aliyoyasema ?
Maoni yangu ni kuwa vijana wengi wa Afrika wanadhani ya kuwa wakienda Ulaya watatoboa kirahisi wanasahau kule kuna mahomeless na ni rahisi kujiingiza kwenye mihadarati. Moja ya vitu ambavyo mkoloni alifanikiwa kuwapandikizia waafrika ni Inferiority Complex. Waafrika wengi tunawaona wazungu ni kama miungu na tunaamini kwao kuna kila kitu.
 
Wewe umekuwa brainwashed na Wamarekani hivyo unawadharau ndugu zako Waafrika as if wewe ni Mzungu ndio maana una waponda waafrika wote. Endelea kubaki huko huko kwa wanaume wako.
Mlio brainwashed ni nyie mnaoamini sifa za uongo za huyo dogo.

Traore ni hype job! Hakuna lolote la maana analofanya.

Sifa zake ni za kwenye mitandao tu na nyingi ni za uzushi mtupu!
 
Mlio brainwashed ni nyie mnaoamini sifa za uongo za huyo dogo.

Traore ni hype job! Hakuna lolote la maana analofanya.

Sifa zake ni za kwenye mitandao tu na nyingi ni za uzushi mtupu!
Umeshafika nchini mwake?
 
Maoni yangu ni kuwa vijana wengi wa Afrika wanadhani ya kuwa wakienda Ulaya watatoboa kirahisi wanasahau kule kuna mahomeless na ni rahisi kujiingiza kwenye mihadarati. Moja ya vitu ambavyo mkoloni alifanikiwa kuwapandikizia waafrika ni Inferiority Complex. Waafrika wengi tunawaona wazungu ni kama miungu na tunaamini kwao kuna kila kitu.

kwa hiyo bado tu unalaumu wakoloni? wakoloni hapa kwetu walikaa miaka chini ya 50 , hakukuwa na maisha kabla ya hapo hadi ulaumu mkoloni aliyekaa only 50 years kwa kila kikutokeacho maishani mwako? vp waarabu walioishi hapa miaka karibia 1000? hao ni unawa absolve? Wajerumani walikaa kama miaka kama 20 hapa kwetu hata ccm imekaa zaidi ya hapo madarakani, iweje uwalaumu for everything miaka 100 baadaye ? isitoshe mtu anaweza tu kupandiza hiyo unayoiita inferiority complex kwako kama wewe mwenyewe ni inferior na unajiona na kujichukulia hivyo …
 
Ndio kwa sababu ya wafaransa waliofukuzwa na mwamba nenda kwa sasa uone nchi inavyoendelea.
🤣🤣.

Hakuna maendeleo yoyote huko wewe.

Dogo ni mshamba tu na ni creation wa social media.
 
kwa hiyo bado unalaumu tu wakoloni? wakoloni hapa kwetu walikaa miaka chini ya 50 , hakukuwa na maisha kabla ya hapo hadi ulaumu mkoloni aliyekaa only 50 years kwa kila kikutokeacho maishani mwako? vp waarabu walioishi hapa miaka karibia 1000? hao ni unawa absolve? isitoshe mtu anaweza tu kupandiza hiyo unayoiita inferiority complex kwako kama wewe mwenyewe ni inferior na unajiona na kujichukulia hivyo …
Kuna sehemu nimewalaumu wakoloni? Au kwa vile umeishiwa hoja.

Hao waarabu walifanya trade na sisi ikiwemo slave trade ila hawakutuvamia na kutuingilia kama walivyofanya wakoloni.
 
Huyu jamaa nilikuwa namkubali lakini kitendo cha yeye kuhamini wazungu (Putin na wenzie ) naona kama imani kwake inapungua maana hana utofauti na wale wanaowwtegemea West
 
Mlio brainwashed ni nyie mnaoamini sifa za uongo za huyo dogo.

Traore ni hype job! Hakuna lolote la maana analofanya.

Sifa zake ni za kwenye mitandao tu na nyingi ni za uzushi mtupu!
Traore hayupo nyuma ya huo uzushi

Kama ni kuchukia wachukie hao wanaozusha
 
Wewe endelea na mabeberu huko Marekani, ya Afrika tuachie sisi waafrika. Traore tunamkubali sana tu piga ua!
I refuse to fall for fake narratives.

Traore is nothing but a hype job. A social media creation.

Eti alikataa mwaliko wa Trump 🤣.

Hata aibu hamna nyie watu.
 
Kuna sehemu nimewalaumu wakoloni? Au kwa vile umeishiwa hoja.

Hao waarabu walifanya trade na sisi ikiwemo slave trade ila hawakutuvamia na kutuingilia kama walivyofanya

waarabu hawakuwavamia na kuwaingilia unamaanishha nini? vp khs caravan ya waliobebeshwa pembe za ndovu zaidi ya km 1000 kwa mguu ktk kigoma hadi bagamoyo? yote hayo kwako ni sawa? waliouzwa utumwa na kumbukumbu ziko soko la utumwa bagamoyo na zanzibar waliokufunga minyororo kuembezwa zaidi km 1000 kwa mguu yote ni sawa tu kwamba hawakukuingilia mambo yako ?
 
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?

Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.

Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.

Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.

Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.


View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN

Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.


Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?

YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!

Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.

Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?

MK254

Punguza hasira then tafuta pesa...
 
Back
Top Bottom