Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Soma swali langu vizuri.Kwahiyo?
Soma swali langu vizuri.Kwahiyo?
Mataifa ya Asia walipata wakina Traore wao mpaka wamefika hapo walipo. China imefika hapo kwaajili ya madikteta kama Mao Ze Dong na Xi jingpin na pia India bila Mahtma Gandhi isingefika hapo.hakuna ambao hawajabaguliwa hizo ni excuses tu, asians walibaguliwa pia wakati wa ukoloni sawa au hata kuzidi waafrika, isitoshe kwanza ni ajabu waafrika kuchukia western Christians wakati kiuhalisia kwanza afrika wazungu wamekuja late sana na wala hawakukaa muda mrefu ukiacha sehemu kama Afrika Kusini, asia walitawaliwa na wazungu muda mrefu zaidi klk afrika, india peke yake uingereza ilikaa kwa miaka 150 vs tanzagiza wakoloni hawakufikisha hata miaka 50, lkn wahindi wamemove on na wanaona Western Christian Nations kama opportunity leo hii india ni economic power house sisi bado tunaona western ni adui, leo hii D.Trump yuko uarabuni anasaini trade deals za billion of dollars sisi tunasifia takataka low iq sijui traore anayetembea na bunduki kiuononi karne ya 21 …
Aliyepo sasa TZ[Samia] na JPM wapi inchi na watanzania wananufaika!Food for thought.
By the way Nyani, unaweza kutofautisha aina ya hisia za “Waafrika” kwa Traore na zilizokuwepo kwa Magufuli?
Japo JPM hakupewa mafuriko ya youtube promo kama Traore lakini umaarufu wake nchini na nje kwa Waafrika ulikuwa na mfanano.
Soma pia jinsi fikra za madam Arikana Chihombori zinavyo-trend.
It’s a generational stuff going and coming around in circles.
Waafrika wa sasa wanataka kusikia na kuona viongozi wao wakibweka kwa nguvu propaganda za 60s - 70s za akina Lumumba, Nkrumah, Sekou Toure, Machel na, recently, Sankara za kuachana na mabeberu na kujitegemea fully KWA VITENDO!
Hata wakidanganywa kuhusu hilo hawasumbuki. Mradi kiongozi anajinasibu kwa nguvu kuwa ni “mzalendo”, hatishwi na mabeberu. Washirika muhimu kwa Afrika ni Urusi ya Putin na BRICS!
Mataifa ya Asia walipata wakina Traore wao mpaka wamefika hapo walipo. China imefika hapo kwaajili ya madikteta kama Mao Ze Dong na Xi jingpin na pia India bila Mahtma Gandhi isingefika hapo.
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254
Wajerumani waliiba man power yetu, walitumia ardhi yetu kwaajili ya viwanda vyao, waliwadhalilisha mama zetu bila kusahau na mijeledi. Na kwa taarifa yako wajerumani walitutoza kodi ikiwemo matiti tax(search mtandaoni). Matiti tax ilitozwa kwa wanaume wenye wake na mwanaume asipolipa wanakata matiti ya mke wake.siyo kweli, hawa elite wa afrika wanawadanganya hivyo ili waendelee kuwatawala na kuwaibia.
labda nikuulize kwa mfano tuongelee nchi yetu, hivi mkoloni mfano mjerumani aliyeanzisha hii nchi kwa kuweka mipaka tuitumiayo leo hii, je alichowekeza hapa alipata faida au hasara? kama mnasema wakoloni “waliiba” rasilimali zetu, ni kipi mjerumani aliikiiba kulinganisha na alivyowekeza ?
Wajerumani waliiba man power yetu, walitumia ardhi yetu kwaajili ya viwanda vyao, waliwadhalilisha mama zetu bila kusahau na mijeledi. Na kwa taarifa yako wajerumani walitutoza kodi ikiwemo matiti tax(search mtandaoni). Matiti tax ilitozwa kwa wanaume wenye wake na mwanaume asipolipa wanakata matiti ya mke wake.
Mzee bora ungesema waingereza ila wajerumani walikuwa ni viumbe vingine kabisa.
Wazee wetu walilipwa low wages na wengine walisafirishwa na kutenganishwa na familia zao. Yaani kati ya wazungu wa Ulaya wenye roho mbaya wanaanza hao wajerumani halafu wanafuata waItaly. Fuatilia historia zao na mauaji waliyoyafanya.mapower gani unayoingelea walioiba ?
Wazee wetu walilipwa low wages na wengine walisafirishwa na kutenganishwa na familia zao. Yaani kati ya wazungu wa Ulaya wenye roho mbaya wanaanza hao wajerumani halafu wanafuata waItaly. Fuatilia historia zao na mauaji waliyoyafanya.
Zamani walilipwa low wages na bado waliexperience over working na pia kuna baadhi walitolewa makende yaani walihasiwa ili wawe na nguvu za kufanya kazi. Huyo Carl Peters aliwafanya watu weusi kama ng'ombe vile.walilipwa low wages? na leo hii 100
years wanalipwa higher wages?
Hana uwezo huoWazee wetu walilipwa low wages na wengine walisafirishwa na kutenganishwa na familia zao. Yaani kati ya wazungu wa Ulaya wenye roho mbaya wanaanza hao wajerumani halafu wanafuata waItaly. Fuatilia historia zao na mauaji waliyoyafanya.
Zamani walilipwa low wages na bado waliexperience over working na pia kuna baadhi walitolewa makende yaani walihasiwa ili wawe na nguvu za kufanya kazi. Huyo Carl Peters aliwafanya watu weusi kama ng'ombe vile.
Sema sera zake mbili zilizo nzuri kwa AfricaWatu waandamane au wasiandamane ila jamaa yupo vizuri sana kwa sera zake kuhusu Afrika nadhani ungejikita kwenye sera zake badala ya kuzungumzia sijui Ufaransa waliandamana au hawakuandamana hiyo haina maana yeyote...
Ujira wa sasahivi ni mkubwa kuliko wa enzi za ukoloni na kumbuka ya kuwa wakoloni walikusanya na kodi.lkn bado kuna vitu unaviona na unavitumia hadi leo hii ni matokeao ya kazi walizofanya au? sasa leo hii umefanya nini mbona hilo swali unalikwepa? wajerumani waliondoka miaka 100 iliyopita hali ikoje ? ujira mnaoliowa kwa vibarua ukoje?
Trump katika inauguration yake ya Urais term ya kwanza walidanganya kuhusu watu waliohudhuria kwamba haijawahi kutokea watu kuja juu eti wakasema alternative facts (tena hapa sio wazee wa udaku bali whitehouse press yenyewe) sasa hapo nashangaa unavyotaka kushangaa fake News kipindi hiki cha AI !!!!Hakualikwa kuhudhuria uapisho wa Trump hivyo hakukataa mwaliko.
Huwezi kukataa mwaliko wa hafla ambayo hujaalikwa.
Pia, hakuna nyomi la watu lililoandamana Paris kumuunga mkono.
Wewe ni mmarekani? Kuandika tu iyo sentensi inaonesha namna gani na wewe akili yako ilivyo duni."Akili za Waafrika ni duni sana aisee."
Ujira wa sasahivi ni mkubwa kuliko wa enzi za ukoloni na kumbuka ya kuwa wakoloni walikusanya na kodi.
Afrika hali bado ni tete kwasababu hatujampata Ze Dong wetu. Wakina Thomas Sankara walijaribu ila wazungu walimpoteza na huyu Traore naona anafuata nyayo hizohizo.
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254