Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

Role ya raia huwa ni kutekeleza haki yao ya kumpigia kura.
Just formalities, ni wajinga pekee yao wanaweza kusema eti kura zetu huaga zina amua chochote. Tumeyaona hayo na tumewasikia wana ccm kadhaa wakitamka hadharani kuhusu hilo
 
Kila kukicha serikali yake inaibuka na madai "wamezima jaribio la mapinduzi"
20250514_082041.jpg

Huyu bodyguard wa Traore ni wa kukataa $m5 kweli🤣?
 
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?

Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.

Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.

Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.

Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.

View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN

Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.

Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?

YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!

Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.

Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?

MK254

Hapo kwenye kufanya vizuri kiukweli anajitahidi kidogo lakini kusema ukweli waafrika ni viazi ambao wanadanganyika kirahisi. Uwezo wa ku judge wa waafrika ni mdogo kiasi cha kusikitisha.

Ndiyo maana Kila anachokisema mtu maarufu wao huamini ni cha kweli. Mtu aliyetoka chuo kikuu akisema chochote basi wale ambao hawajafika kule huamini haraka haraka.

Nyambafu sana waafrika wengi.
 
Wanakaribia kumuabudu siyo..
Siyo poa , Sifa zitamponza
 
Hapo kwenye kufanya vizuri kiukweli anajitahidi kidogo lakini kusema ukweli waafrika ni viazi ambao wanadanganyika kirahisi. Uwezo wa ku judge wa waafrika ni mdogo kiasi cha kusikitisha.

Ndiyo maana Kila anachokisema mtu maarufu wao huamini ni cha kweli. Mtu aliyetoka chuo kikuu akisema chochote basi wale ambao hawajafika kule huamini haraka haraka.

Nyambafu sana waafrika wengi.
Inferiority complex inatusumbua.
 
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?

Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.

Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.

Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.

Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.

View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN

Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.

Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?

YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!

Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.

Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?

MK254

Food for thought.

By the way Nyani, unaweza kutofautisha aina ya hisia za “Waafrika” kwa Traore na zilizokuwepo kwa Magufuli?

Japo JPM hakupewa mafuriko ya youtube promo kama Traore lakini umaarufu wake nchini na nje kwa Waafrika ulikuwa na mfanano.

Soma pia jinsi fikra za madam Arikana Chihombori zinavyo-trend.

It’s a generational stuff going and coming around in circles.

Waafrika wa sasa wanataka kusikia na kuona viongozi wao wakibweka kwa nguvu propaganda za 60s - 70s za akina Lumumba, Nkrumah, Sekou Toure, Machel na, recently, Sankara za kuachana na mabeberu na kujitegemea fully KWA VITENDO!

Hata wakidanganywa kuhusu hilo hawasumbuki. Mradi kiongozi anajinasibu kwa nguvu kuwa ni “mzalendo”, hatishwi na mabeberu. Washirika muhimu kwa Afrika ni Urusi ya Putin na BRICS!
 
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?

Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.

Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.

Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.

Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.

View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN

Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.

Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?

YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!

Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.

Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?

MK254

Tuko wachache tunaopenda ukweli na hatuamini mambo ya kizushi kirahisi. Sehemu kubwa ya jamii yetu wanaamini uzushi kirahisi sana.
 
Wewe upo kwenye level ya kuwa genius,waafrika wengi hawana uwezo wa kupambanua mambo, medicator huwa wanapropaganda machine wanazozitumia kukuza umaarufu wa tawala zao,ni kama hapa kwetu enzi za utawala wa Magu tulidanganywa mambo mengi mfano ni lile jiwe kubwa la dhahabu lililodaiwa kupatwa na yule mtu waliemuita Leizer,ulikuwa uwongo mtupu,watu wenye akili zao za kutosha hawadanywagi na uwongo kama huo,eti Traore ameuza madini amelipa madeni yote ya taifa lake,huo ni upuuzi mtupu.
Lakini kuhusu huyo Traore ni Waafrika wengi sana wanaoamini mambo ya uongo kuhusu yeye!

Akili za Waafrika ni duni sana aisee.
 
Wewe upo kwenye level ya kuwa genius,waafrika wengi hawana uwezo wa kupambanua mambo, medicator huwa wanapropaganda machine wanazozitumia kukuza umaarufu wa tawala zao,ni kama hapa kwetu enzi za utawala wa Magu tulidanganywa mambo mengi mfano ni lile jiwe kubwa la dhahabu lililodaiwa kupatwa na yule mtu waliemuita Leizer,ulikuwa uwongo mtupu,watu wenye akili zao za kutosha hawadanywagi na uwongo kama huo,eti Traore ameuza madini amelipa madeni yote ya taifa lake,huo ni upuuzi mtupu.
Leteni ukweli sasa.
 
Uzi unachekesha, nitarudi kutangaza mshindi..!! 😹😹
 
aliyelea waafrika ndiyo huyo huyo aliyelea black amerikan, wote wamelelewa kuchukia mkono unaowalisha, wakati dunia nzima wanashirikiana na Western Christian Nations na kujifunza sisi tunafundishwa kuwachukia, angalia india wameamka nao walikuwa wajinga hivyo, matokeo yake black amerikan wamekuwa USA kwa zaidi ya miaka 400 lkn ni poorest group pmj na opport. zote US has to offer, black amerikan wanakataa hata kuongea proper english wameunda ya kwao, wanachakula chao, wanavaa kivyao wako busy kujitenga na Christian Amerika kama waafrika pia mwalimu wao ni mmoja, matokeo yake umaskini na backwardness na wanshindwa ku move up the ladder kwa sababu hawana qualications za kuwafanya wapate kazi nzuri kwa sababu wanakataa elimu wanaita kua act white kwa black anayesoma anaitwa sell out, kama afrika vile vile, lkn asians wanakuja wanajifunza ktk kwa Christians wanapata kazi nzuri wanaingia middle class na upper class …
 
Propaganda za kitoto sana za huyu jamaa. Kila week utasikia wamezima jaribio la mapinduzi. Huyu bodyguard choka mbaya eti kakataa mil 5 usd ukimcheck hata hajielewi utadhani ni kibaka tu kaokotwa sehemu.
Wafuasi mashabiki wa Ibrah Traore ni kama wana cracks kwenye bongo zao,
 
aliyelea waafrika ndiyo huyo huyo aliyelea black amerikan, wote wamelelewa kuchukia mkono unaowalisha, wakati dunia nzima wanashirikiana na Western Christian Nations na kujifunza sisi tunafundishwa kuwachukia, angalia india wameamka nao walikuwa wajinga hivyo, matokeo yake black amerikan wamekuwa USA kwa zaidi ya miaka 400 lkn ni poorest group pmj na opport. zote US has to offer, black amerikan wanakataa hata kuongea proper english wameunda ya kwao, wanachakula chao, wanavaa kivyao wako busy kujitenga na Christian Amerika kama waafrika pia mwalimu wao ni mmoja, matokeo yake umaskini na backwardness na wanshindwa ku move up the ladder kwa sababu hawana qualications za kuwafanya wapate kazi nzuri kwa sababu wanakataa elimu wanaita kua act white kwa black anayesoma anaitwa sell out, kama afrika vile vile, lkn asians wanakuja wanajifunza wanapata kazi nzuri wanaingia middle class na upper class …
Hao black American wanaishi kivyao kwasababu ya ubaguzi. Black people wanabaguliwa hata kuliko hao Asians leo hii vurugu ikitokea sehemu huko Marekani mtu mweusi ndo wakwanza kukamatwa hata kama hakuhusika huko mashuleni na vyuoni Black people wanabaguliwa ile mbaya.

Pia Christian Education sio factor ya nchi kuendelea nchi kama Israel na Iran hazina Christian Education na zimeendelea. Kumbuka ya pia unyonyaji wa hao Western Christians ndo umeifikisha Afrika hapa ilipo.
 
Unaonekana umetumwa na mabeberu,
Waambie unaotakiwa kuwafikishia ujumbe hawapo
 
Hao black American wanaishi kivyao kwasababu ya ubaguzi. Black people wanabaguliwa hata kuliko hao Asians leo hii vurugu ikitokea sehemu huko Marekani mtu mweusi ndo wakwanza kukamatwa hata kama hakuhusika huko mashuleni na vyuoni Black people wanabaguliwa ile mbaya.

Pia Christian Education sio factor ya nchi kuendelea nchi kama Israel na Iran hazina Christian Education na zimeendelea. Kumbuka ya pia unyonyaji wa hao Western Christians ndo umeifikisha Afrika hapa ilipo.

hakuna ambao hawajabaguliwa hizo ni excuses tu, asians walibaguliwa pia wakati wa ukoloni sawa au hata kuzidi waafrika, isitoshe kwanza ni ajabu waafrika kuchukia western Christians wakati kiuhalisia kwanza afrika wazungu wamekuja late sana na wala hawakukaa muda mrefu ukiacha sehemu kama Afrika Kusini, asia walitawaliwa na wazungu muda mrefu zaidi klk afrika, india peke yake uingereza ilikaa kwa miaka 150 vs tanzagiza wakoloni hawakufikisha hata miaka 50, lkn wahindi wamemove on na wanaona Western Christian Nations kama opportunity leo hii india ni economic power house sisi bado tunaona western ni adui, leo hii D.Trump yuko uarabuni anasaini trade deals za billion of dollars sisi tunasifia takataka low iq sijui traore anayetembea na bunduki kiuononi karne ya 21 …
 
Back
Top Bottom