Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Zimefanyaje?Gwanda za jeshi
Kwani zimeaibishwaGwanda za jeshi
Wabongo (wengi ~ sio wote) wanaamini raisi akivaa gwanda za jeshi zikiambatana na pistol ni ishara ya kuwa raisi wa kuigwaZimefanyaje?
Social medias hasa youtube kuna content creators ambao wana post videos kuendana na trend, Traore kwa sasa anatrend sana mitandaoni, wengine wanatumia hio fursa hata kuandika uongo na kupost videos ili kupata views..Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika.
Case in point ni hii clip ya YouTube Shorts. Madai ni kwamba eti nyomi la watu katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, walijitokeza barabarani na kuandamana kumuunga mkono.
View: https://youtube.com/shorts/Wmo9mPPp7BM?si=fCOX3bChahmHrMBN
Ukweli ni kwamba hao watu ni Waserbia waliokuwa wanaandamana huko Belgrade kuipinga serikali yao.
Kama kweli huyo Traore anapendwa sana na anafanya maajabu, kwa nini uongo na uzushi unatumika katika kumsifia?
YouTube kuna video nyingi za uongo zikimwonyesha akizungumza Kiingereza na ukienda kwenye comment section unakutana na nyumbu wa Kiafrika wakimsifia kwa kutema madini ilhali ni AI!!
Bara limejaa watu viazi na vilaza sana aisee.
Uongo wa nini kama kweli anafanya vizuri?
MK254
Kwa nini watu wanampamba kwa mambo ya uongo na uzushi?
Lakini kuhusu huyo Traore ni Waafrika wengi sana wanaoamini mambo ya uongo kuhusu yeye!Wabongo (wengi ~ sio wote) wanaamini raisi akivaa gwanda za jeshi zikiambatana na pistol ni ishara ya kuwa raisi wa kuigwa
Tuambie ya kweli kumhusu..Lakini kuhusu huyo Traore ni Waafrika wengi sana wanaoamini mambo ya uongo kuhusu yeye!
Akili za Waafrika ni duni sana aisee.
Wako kimya, wanaomsifia wote ni wa nje ya Burkinabe!Kwani wabukinabe wenyewe wanasemaje??
Niumie kwa mambo ya uongo?Mbona ubaumia kwa mshikaji, be lroud of your african brotherhood. Na hsitake kutujaza hasira zako dhidi ya watu wengine. Jipambanie maisha ni mafupi
Watu wanatumia fursa, wanawapa kile watu wanapenda kusikiaWako kimya, wanaomsifia wote ni wa nje na Burkinabe!
Wanasema Dogo ameweka malengo ya kujenga kilomita 5,000 za Lami kwa KUTUMIA internal resources na local Companies.Kwani wabukinabe wenyewe wanasemaje??
Hakualikwa kuhudhuria uapisho wa Trump hivyo hakukataa mwaliko.Tuambie ya kweli kumhusu..