Nchi rafiki atasafiri tu,al bashiri alienda south AfricaWanacho weza ni kumzuia kusafiri, Ila kumkamata tusahau.
Nchi rafiki kwa mama yko kipenzi ni UGANDA na BURUNDI tu?Nchi rafiki atasafiri tu,al bashiri alienda south Africa
Hiyo ni adhabu tosha kwake, atachakaa vilivyo...Nchi rafiki kwa mama yko kipenzi ni UGANDA na BURUNDI tu?
😁😁Nchi rafiki kwa mama yko kipenzi ni UGANDA na BURUNDI tu?
Unajua hakuna kazi hatari dunia hii kama kuwa kiongozi katika jamii, ukikosea kidogo utasababisha mauwaji makubwa ambayo baada ya kustaafu kesi itaanza na utaishia jela na uzee wako, imagine unahukumiwa kifo katika umri wako wa miaka 60Wazee tukubaliane tu Maza na wenzake ndiyo wameenda hivyo, hiyo imeisha .
Waandishi wa yale mashtaka wanaweza kuwa ni majini au viumbe wa ajabu iabisa coz siyo kwa mpangilio ule aagh!🫢
Ukitaka kuelewa angalia Mpangilio wa makosa yanayomkabili yeye na wenzake kisha gawanya na viwango vya upatikanaji wa ushahidi (unaiona tabu kuupata Ushahidi wao?)
UZITO WA KESI HUPIMWA NA MAZINGIRA YA USHAHIDI.
Ukiona kila kosa Ushahidi wake unaweza kuupata hata kwa kuwauliza tu wanakijiji jua muhusika ameenda na maji.
Jitahidini majibu yaambatane na simanzi simanzi kidogo.
Kazi na Utu
Kumkamata ni chap tuWanacho weza ni kumzuia kusafiri, Ila kumkamata tusahau.
Huko nchi rafiki anaenda kupitia anga la nani?Nchi rafiki atasafiri tu,al bashiri alienda south Africa
kitendo tu cha kushtakiwa rasmi na icc ni records ya aibu sana kwa rais tena wa tanzania ambaye ameingia amekuta nchi inaumoja na ushirikiano ghafla ameharibu hadi kushtakiwa ni historia hiyo anajiandikia mbaya sana yaani vizazi na vizazi vitakuja kusoma kuwa alishitakiwa mahakama za kimataifa kwa kuibagaza nchi.Wazee tukubaliane tu Maza na wenzake ndiyo wameenda hivyo, hiyo imeisha .
Waandishi wa yale mashtaka wanaweza kuwa ni majini au viumbe wa ajabu iabisa coz siyo kwa mpangilio ule aagh!🫢
Ukitaka kuelewa angalia Mpangilio wa makosa yanayomkabili yeye na wenzake kisha gawanya na viwango vya upatikanaji wa ushahidi (unaiona tabu kuupata Ushahidi wao?)
UZITO WA KESI HUPIMWA NA MAZINGIRA YA USHAHIDI.
Ukiona kila kosa Ushahidi wake unaweza kuupata hata kwa kuwauliza tu wanakijiji jua muhusika ameenda na maji.
Jitahidini majibu yaambatane na simanzi simanzi kidogo.
Kazi na Utu
Na ***** kama wewe dawa yake ni kufirwaHakuna kesi yoyote itakayofanikiwa huko ICC kuchoma vituo vya mafuta ni ugaidi na gaidi dawa yake ni kuuwawa
na alivyozoea kusafiri, hiyo ni adhabu tosha kwake!Hiyo ni adhabu tosha kwake, atachakaa vilivyo...