ICC wakishatoa hukumu utekelezaji utakuwaje?

ICC wakishatoa hukumu utekelezaji utakuwaje?

Hiki ndo kitatokea, ikishatolewa amri ya kukamatwa kwa samia nawambieni kutakuwa na maandamano makubwa sana ya kushinikiza akamatwe na huenda wananchi wanaandamana hadi ikulu .

Kiufupi Samia sasa hivi anapitia majuto makubwa sana na hajui kipi cha kufanya
 
kitendo tu cha kushtakiwa rasmi na icc ni records ya aibu sana kwa rais tena wa tanzania ambaye ameingia amekuta nchi inaumoja na ushirikiano ghafla ameharibu hadi kushtakiwa ni historia hiyo anajiandikia mbaya sana yaani vizazi na vizazi vitakuja kusoma kuwa alishitakiwa mahakama za kimataifa kwa kuibagaza nchi.
Kwa kuongezea hapo, ni Rais mwanamke; aibu kubwa😢
 
wanaosema hawezi kukamatwa. Rejeeni vita vya Rwanda. Watu walisakwa nchi zote wakapelekwa ICC lazima tu

kitakachufuata…

UN wataagiza uchafuzi ufutwe
Uchaguzi huru na haki ufanyike
Wahalifu wooooote watawekewa vizuizi.

Msiwadanganye hawa wahalifu
Ni kubaya sana….
Eti wanamlinganisha na akina Putin na Kim wa North Korea
Nabaki kuwadharau tu hawajui kuwa Putin Huwa hashambulii na kuuwa raia wake kwaiyo ana support kubwa ya Russians

Huyu ICC ikitoka arrest warrant ni kwenda kumloa pale na kumfika The Hague mapema tu
 
Unajua hakuna kazi hatari dunia hii kama kuwa kiongozi katika jamii, ukikosea kidogo utasababisha mauwaji makubwa ambayo baada ya kustaafu kesi itaanza na utaishia jela na uzee wako, imagine unahukumiwa kifo katika umri wako wa miaka 60
Yaani huyu Maza nikama wamemtoa kafara ,hii ngoma ni ndani nje .

Ndani kwenyewe akikegeza tu watu wanapitia nae na siyo wengine ,hawa hawa wanaompamba sasa wanamtamani kinyaama .

Ninamashaka gerezani anaweza asifike , kitaa watu wanamtamani ile kimaku aisee .
 
kitendo tu cha kushtakiwa rasmi na icc ni records ya aibu sana kwa rais tena wa tanzania ambaye ameingia amekuta nchi inaumoja na ushirikiano ghafla ameharibu hadi kushtakiwa ni historia hiyo anajiandikia mbaya sana yaani vizazi na vizazi vitakuja kusoma kuwa alishitakiwa mahakama za kimataifa kwa kuibagaza nchi.
Ndoto ya Abdul kuwa rais mbeleni kama Mwinyi itakufa
 
Rais wa nchi hakamatwi kama kuku brother ICC ni scam nawashangaa wanaokomaa na ICC adui yenu unamwachia ICC matumaini yako anayajebeba ICC kuna Rais kibao hawajamatwa na ICC
Sijui kama umesoma nilichoandika, nimesema "nchi yoyote inayoheshimu ICC". Hao wote wanaozurura, kwanza lazima wawe na uhakika hiyo nchi haiwezi kuwapeleka ICC.
 
Yaani huyu Maza nikama wamemtoa kafara ,hii ngoma ni ndani nje .

Ndani kwenyewe akikegeza tu watu wanapitia nae na siyo wengine ,hawa hawa wanaompamba sasa wanamtamani kinyaama .

Ninamashaka gerezani anaweza asifike , kitaa watu wanamtamani ile kimaku aisee .
Duh
 
Back
Top Bottom