ICC wakishatoa hukumu utekelezaji utakuwaje?

ICC wakishatoa hukumu utekelezaji utakuwaje?

Rais wa nchi hakamatwi kama kuku brother ICC ni scam nawashangaa wanaokomaa na ICC adui yenu unamwachia ICC matumaini yako anayajebeba ICC kuna Rais kibao hawajamatwa na ICC
Watu hawawezi kukuelewa.....
Netanyahu anatakiwa akamatwe, lakini hao hao wanaotaka samia akamatwe wanapinga Netanyahu akamatwe
Hapo ndio unapojua ICC ni Kangaroo court, ambayo kama haigusi masilahi ya wazungu, watakukomalia ukamatwe, lakini ujichanganya kumshtaki mwezao, unaanza kusikia hio mahakama hatuitambui.....
 
After how many years in custody did that acquittal materialise? He was indicted in 2011 and acquitted in 2021! A decade after his arrest.
Halafu angalia wale watetezi wa haki huko kwake walivyombadilikia, japo ana haki ya kugombania....
Trump kwa kweli ana uwehu wake lakini ashukuru ni raia wa US, huku kwetu hata wapinzani wakishika nchi wanageuka kuwa madikteta.....

 
wanaosema hawezi kukamatwa. Rejeeni vita vya Rwanda. Watu walisakwa nchi zote wakapelekwa ICC lazima tu

.
Hayo ni matokeo ya ushindi, lakini kama Juvenal Habyarimana angekuwa bado raisi na RPF wameshindwa, sahau ICC kuweza chochote, tumeona mfano Sudan, Philipines na leo Netanyahu...
Ni mpaka Samia atolewe madarakani na akamatwe ndio ICC itajifanya ina meno, zaidi ya hapo tunaenda kuwa kama Zimbabwe....
 
Hiki ndo kitatokea, ikishatolewa amri ya kukamatwa kwa samia nawambieni kutakuwa na maandamano makubwa sana ya kushinikiza akamatwe na huenda wananchi wanaandamana hadi ikulu .

Kiufupi Samia sasa hivi anapitia majuto makubwa sana na hajui kipi cha kufanya
Aisee.. kweli .
Na wewe!?
 
Back
Top Bottom