ICC wakishatoa hukumu utekelezaji utakuwaje?

ICC wakishatoa hukumu utekelezaji utakuwaje?

Uhuru Kenyatta alishawahi kupelekwa ICC na alihudhuria kesi bahati nzuri tu akishinda. Ila huyu bibi akienda huko hatoboi.
Mkuu ile ya Kenyatta inatofauti kubwa sana na ya hawa mnayang'au , hawa ikitokea imeitwa tu pale wajue wameenda na maji .
 
Wazee tukubaliane tu Maza na wenzake ndiyo wameenda hivyo, hiyo imeisha .

Waandishi wa yale mashtaka wanaweza kuwa ni majini au viumbe wa ajabu iabisa coz siyo kwa mpangilio ule aagh!🫢

Ukitaka kuelewa angalia Mpangilio wa makosa yanayomkabili yeye na wenzake kisha gawanya na viwango vya upatikanaji wa ushahidi (unaiona tabu kuupata Ushahidi wao?)

UZITO WA KESI HUPIMWA NA MAZINGIRA YA USHAHIDI.

Ukiona kila kosa Ushahidi wake unaweza kuupata hata kwa kuwauliza tu wanakijiji jua muhusika ameenda na maji.

Jitahidini majibu yaambatane na simanzi simanzi kidogo.

Kazi na Utu
Hamna kesi hapo wanajipotezea muda tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Upande waserikali pia wanapambana na yafutayo

1. Kupoteza ushahidi uliopo
2. Kuandaa mazingira magumu kwenye ushahidi wanatumia fedha nyingi sana katika hili
3. Hatosafiri nje ya nchi mpaka miaka yake mitano iishe

..wakianza kumsumbua afikirie utaratibu wa kutosafiri, na kutokuwa na passport kabisa.

..Na pia afikirie nini kitatokea ikiwa atatoka madarakani.

..Kwa kweli amuombe mola wake amfanyie wepesi katika mashtaka hayo vinginevyo atasumbuka.
 
Rais wa nchi hakamatwi kama kuku brother ICC ni scam nawashangaa wanaokomaa na ICC adui yenu unamwachia ICC matumaini yako anayajebeba ICC kuna Rais kibao hawajamatwa na ICC

..kesi ikifika mahakamani ni shida.

..haifai kuwa na Raisi anayelazimika kwenda kujitetea ICC kila kesi inaposikilizwa.

..pia kesi ikiendelea mpaka atakapotoka madarakani itakuwa shida sana kwake.

..kwa kifupi apambane asipatikane na mashtaka ya kujibu.
 
Back
Top Bottom