Wewe ni MPUMBAVU.Rais wa nchi hakamatwi kama kuku brother ICC ni scam nawashangaa wanaokomaa na ICC adui yenu unamwachia ICC matumaini yako anayajebeba ICC kuna Rais kibao hawajamatwa na ICC
Mkuu ile ya Kenyatta inatofauti kubwa sana na ya hawa mnayang'au , hawa ikitokea imeitwa tu pale wajue wameenda na maji .Uhuru Kenyatta alishawahi kupelekwa ICC na alihudhuria kesi bahati nzuri tu akishinda. Ila huyu bibi akienda huko hatoboi.
Umelipwa Tsh ngpHakuna kesi yoyote itakayofanikiwa huko ICC kuchoma vituo vya mafuta ni ugaidi na gaidi dawa yake ni kuuwawa
Tutamkamata kwa maandamano mpaka na kumpeleke kwa miguu mpaka the HagueWanacho weza ni kumzuia kusafiri, Ila kumkamata tusahau.
Hamna kesi hapo wanajipotezea muda tuWazee tukubaliane tu Maza na wenzake ndiyo wameenda hivyo, hiyo imeisha .
Waandishi wa yale mashtaka wanaweza kuwa ni majini au viumbe wa ajabu iabisa coz siyo kwa mpangilio ule aagh!🫢
Ukitaka kuelewa angalia Mpangilio wa makosa yanayomkabili yeye na wenzake kisha gawanya na viwango vya upatikanaji wa ushahidi (unaiona tabu kuupata Ushahidi wao?)
UZITO WA KESI HUPIMWA NA MAZINGIRA YA USHAHIDI.
Ukiona kila kosa Ushahidi wake unaweza kuupata hata kwa kuwauliza tu wanakijiji jua muhusika ameenda na maji.
Jitahidini majibu yaambatane na simanzi simanzi kidogo.
Kazi na Utu
shaba ya kichwani tuTutamkamata kwa maandamano mpaka na kumpeleke kwa miguu mpaka the Hague
shaba ya kichwa tu D 9Na ***** kama wewe dawa yake ni kufirwa
😹😹😹 ICC watoe ndio uone watanzania upande wetu wa pili.Wazee mnaghadhabu sana 🤣🤣
Chawa kama chawashaba ya kichwani tu
Chawa kama chawa
3250Umelipwa Tsh ngp
Upande waserikali pia wanapambana na yafutayo
1. Kupoteza ushahidi uliopo
2. Kuandaa mazingira magumu kwenye ushahidi wanatumia fedha nyingi sana katika hili
3. Hatosafiri nje ya nchi mpaka miaka yake mitano iishe
Yaani ICC wakiiacha hii kesi basi TZ tujiondoe tu maana hamna maana kuwepo na nchi ambazo viongozi walishitakiwa basi ilikuwa ina maslahi binafsi.
Rais wa nchi hakamatwi kama kuku brother ICC ni scam nawashangaa wanaokomaa na ICC adui yenu unamwachia ICC matumaini yako anayajebeba ICC kuna Rais kibao hawajamatwa na ICC