wanaosema hawezi kukamatwa. Rejeeni vita vya Rwanda. Watu walisakwa nchi zote wakapelekwa ICC lazima tuKumkamata ni chap tu
Kwa kuongezea hapo, ni Rais mwanamke; aibu kubwa😢kitendo tu cha kushtakiwa rasmi na icc ni records ya aibu sana kwa rais tena wa tanzania ambaye ameingia amekuta nchi inaumoja na ushirikiano ghafla ameharibu hadi kushtakiwa ni historia hiyo anajiandikia mbaya sana yaani vizazi na vizazi vitakuja kusoma kuwa alishitakiwa mahakama za kimataifa kwa kuibagaza nchi.
Asiposafiri tunambeba juu juu tunaenda kumkabidhi kwa genzwa kenya namanga paleGen Z watajitolea kufanya citizen arrest na kumpeleka huko mambele😏
Eti wanamlinganisha na akina Putin na Kim wa North Koreawanaosema hawezi kukamatwa. Rejeeni vita vya Rwanda. Watu walisakwa nchi zote wakapelekwa ICC lazima tu
kitakachufuata…
UN wataagiza uchafuzi ufutwe
Uchaguzi huru na haki ufanyike
Wahalifu wooooote watawekewa vizuizi.
Msiwadanganye hawa wahalifu
Ni kubaya sana….
Yaani huyu Maza nikama wamemtoa kafara ,hii ngoma ni ndani nje .Unajua hakuna kazi hatari dunia hii kama kuwa kiongozi katika jamii, ukikosea kidogo utasababisha mauwaji makubwa ambayo baada ya kustaafu kesi itaanza na utaishia jela na uzee wako, imagine unahukumiwa kifo katika umri wako wa miaka 60
Endelea kuota chunga tu usijinyee.Gen Z watajitolea kufanya citizen arrest na kumpeleka huko mambele😏
Nchi rafiki atasafiri tu,al bashiri alienda south Africa
Ndoto ya Abdul kuwa rais mbeleni kama Mwinyi itakufakitendo tu cha kushtakiwa rasmi na icc ni records ya aibu sana kwa rais tena wa tanzania ambaye ameingia amekuta nchi inaumoja na ushirikiano ghafla ameharibu hadi kushtakiwa ni historia hiyo anajiandikia mbaya sana yaani vizazi na vizazi vitakuja kusoma kuwa alishitakiwa mahakama za kimataifa kwa kuibagaza nchi.
Sijui kama umesoma nilichoandika, nimesema "nchi yoyote inayoheshimu ICC". Hao wote wanaozurura, kwanza lazima wawe na uhakika hiyo nchi haiwezi kuwapeleka ICC.Rais wa nchi hakamatwi kama kuku brother ICC ni scam nawashangaa wanaokomaa na ICC adui yenu unamwachia ICC matumaini yako anayajebeba ICC kuna Rais kibao hawajamatwa na ICC
DuhYaani huyu Maza nikama wamemtoa kafara ,hii ngoma ni ndani nje .
Ndani kwenyewe akikegeza tu watu wanapitia nae na siyo wengine ,hawa hawa wanaompamba sasa wanamtamani kinyaama .
Ninamashaka gerezani anaweza asifike , kitaa watu wanamtamani ile kimaku aisee .
Charles Taylor alikamatwa mbona?Rais wa nchi hakamatwi kama kuku brother ICC ni scam nawashangaa wanaokomaa na ICC adui yenu unamwachia ICC matumaini yako anayajebeba ICC kuna Rais kibao hawajamatwa na ICC
Kitambo sanaCharles Taylor alikamatwa mbona?
Kusaga kunguni means kupush ICC wachukue hatua haraka ,tunataka "KITIMOTO" apelekwe ICC kabla 2026 haijapinduka.Siasa za dunia haziendi kwa kusaga kunguni
ICC pakiwa na uchunguzi wa ndani wao hawachunguziKusaga kunguni means kupush ICC wachukue hatua haraka ,tunataka "KITIMOTO" apelekwe ICC kabla 2026 haijapinduka.
Wanacho weza ni kumzuia kusafiri, Ila kumkamata tusahau.
Mbona Laurent Gbagbo aliyekuwa Rais wa wa Ivory Coast alikamatwa 2011 na kushitakiwa kwa makosa kama ya Samia?
After how many years in custody did that acquittal materialise? He was indicted in 2011 and acquitted in 2021! A decade after his arrest.Ivory Coast's ex-President Gbagbo free to go home after ICC acquittal
Laurent Gbagbo's supporters are jubilant after the global war crimes court upholds his acquittal.www.bbc.co.uk