Watu hawawezi kukuelewa.....Rais wa nchi hakamatwi kama kuku brother ICC ni scam nawashangaa wanaokomaa na ICC adui yenu unamwachia ICC matumaini yako anayajebeba ICC kuna Rais kibao hawajamatwa na ICC
Halafu angalia wale watetezi wa haki huko kwake walivyombadilikia, japo ana haki ya kugombania....After how many years in custody did that acquittal materialise? He was indicted in 2011 and acquitted in 2021! A decade after his arrest.
halafu kwa sasa kama wamemkimbia vile ***** kabaki na familia yake na machawaWahuni walimdanganya sana
Hayo ni matokeo ya ushindi, lakini kama Juvenal Habyarimana angekuwa bado raisi na RPF wameshindwa, sahau ICC kuweza chochote, tumeona mfano Sudan, Philipines na leo Netanyahu...wanaosema hawezi kukamatwa. Rejeeni vita vya Rwanda. Watu walisakwa nchi zote wakapelekwa ICC lazima tu
.
Akafanye nini!? Akanye?Nchi rafiki atasafiri tu,al bashiri alienda south Africa
Aisee.. kweli .Hiki ndo kitatokea, ikishatolewa amri ya kukamatwa kwa samia nawambieni kutakuwa na maandamano makubwa sana ya kushinikiza akamatwe na huenda wananchi wanaandamana hadi ikulu .
Kiufupi Samia sasa hivi anapitia majuto makubwa sana na hajui kipi cha kufanya