ICC yakunjua Makucha, Waliohamasisha Vurugu Mo 29 Wakiwemo Wanaharakati Matumbo Joto.Hati ya Mashtaka Yawasilishwa

Ccm kaeni na mjitafakari sana jinsi ya kupropagate. Mnakidhalilisha sana chama na uongozi wote kwa njaa zenu. Hamjui kuwa jf inasomwa duniani kote na kwa lugha zote?
Imagine ICC wakaona huu mchezo wenu wa kughushi, na wakatunza rekodi mnadhani mtasalimika wakiitumia kama ushahidi kwenye kesi? Kenani hebu buni njia nyingine ya kupropagate.
 
My Take
Waliokuwa wanawatumia wenzao kupata pesa Sasa ni wakati wa kwenda kujitetea.
Kwa mujibu wa andiko linalosambaa mitandaoni, viongozi wa CHADEMA, wanaharakati na wahamasishaji katika mitandano ya kijamii wameshtakiwa mbele ya Mahakama ya ICC kwa tuhuma za makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu (crimes against humanity) yanayodaiwa kufanyika wakati wa uchaguzi wa Oktoba 2025. Tuhuma hizi zimewasilishwa ICC tarehe 11 Mei, 2026 kwa mujibu wa ibara ya 15(2) ya Mkataba wa Roma (Rome Statute) inayompa Mwendesha Mashtaka wa ICC mamlaka ya kuanzisha uchunguzi dhidi ya watu wote wanaotajwa katika andiko hilo.

Waandishi wa andiko hili wamesisitiza kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 25(3(a) na (d) ya Mkataba wa Roma, watu binafsi au taasisi binafsi zinaweza kushtakiwa kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu kama ilivyokuwa baada ya vurugu za uchaguzi nchini Kenya mwaka 2007 (ambapo Ruto na Kenyatta walishitakiwa). Ikumbukwe kuwa tarehe 13 Novemba,2025, Chama cha Mawakili wa Madrid na World Jurist Association waliwasilisha madai yao kwa Mahakama ya ICC wakitaka ichunguze Serikali ya Tanzania dhidi ya tuhuma za kutenda makosa dhidi ya ubinadamu (crimes against humanity).

Andiko hilo limetaja majina wa watu binafsi walioshiriki moja kwa moja katika vurugu, au kuamrisha/kushawisihi watu wengine kufanya vurugu na kutoa mchango wa aina yoyote katika utekelezaji wa mpango wa kufanya vurugu kinyume na ibara ya 25 ya Mkataba wa Roma. Maeneo yaliyoathirika na vurugu yametajwa kuwa ni Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Shinyanga, Geita, Songwe na Ruvuma. Andiko pia limeorodhesha tuhuma dhidi ya watu wanatajwa ikiwemo kushambulia raia walioshiriki kupiga kura, kushambulia askari, kuharibu mali binafsi na za umma, kuchoma moto majengo na vituo vya mafuta.

Endapo tuhuma hizi zitathibitika, watu wote wanaotajwa wanaweza kushitakiwa kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu chini ya ibara ya 7 ya Mkataba wa Roma ikiwemo mauaji, matendo mengine ya unyama dhidi ya binadamu na uonevu (persecution).
Yataje mkuu, kwani ni siri ya kwako mwenyewe?
 
Safi sana...
Walahu walioua nao watajitokeza kujieleza kwanini waliwaua wenzao... Kwa amri ya nani... Na miili waliitupa wapi!
Hii kesi tamu sana!
 
Kuna ujinga halafu kuna ujinga mwingi...
 
Loh! Choicevariable amekwishakuwa mwendawazimu wa kiwango hiki!!
Halafu mwendawazimu kama huyu, kwa kutengeneza hako ka-fake news anajiona ametumia akili! Takataka kama hizi ni mzigo mkubwa kwa CCM!!
 
istockphoto-155076492-2048x2048.jpg
 
MTUHUMIWA ANAANZA KUJITETEA KWA KUTAJA WENGINE BADALA YA KUPAMBANA NA KESI YAKE.Umepewa Barua ukaite mzazi kwa makosa ya kinidhamu we unamwambia Mzazi kuwa "tumepewa barua wengi siyo mimi tu".Damu ile ya mama zetu,baba zetu,kaka na dada zetu haitonyamaza juu ya nchi kamwee.Ni lini saa ngapi Italipwa tu,Mungu hawai wala hachelewi.Endelea kupumzika kwa Amani mdogo wangu Rashidi,Mama alikusubiri urudi na mkaa na samaki ili papikwe jioni ikawa ndo kwa heri.
Aisee pole Sana kaka
 
Back
Top Bottom