ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

Ni wivu tu gentamycine unaonekana kuwa na chuki kwa jamaa na wivu. Hivi kuna mtu anaandika mambo ya kipumbavu ya kitoto kama wewe humu JF? Bill Lugano is very bright na wengi tuna mpenda. Hana ugomvi na mtu, hana matusi na mtu. Ana malezi mazuri si kama wewe ambaye ulichoandika tu hapa kinaonesha hukulelewa vyema. Bill Lugano ni the Don. Ana pesa wewe una matusi. Ana akili wewe una funza kichwani. Anafahamu mambo wewe unafahamu michambo...
Genta a.k.a popoma a.k.a kanga moko ni mpumbavu mmoja ambae umetumia nguvu kubwa sana kumjibu,huyo ni wa kumpuuza tu
 
Ni wivu tu gentamycine unaonekana kuwa na chuki kwa jamaa na wivu. Hivi kuna mtu anaandika mambo ya kipumbavu ya kitoto kama wewe humu JF? Bill Lugano is very bright na wengi tuna mpenda. Hana ugomvi na mtu, hana matusi na mtu. Ana malezi mazuri si kama wewe ambaye ulichoandika tu hapa kinaonesha hukulelewa vyema. Bill Lugano ni the Don. Ana pesa wewe una matusi. Ana akili wewe una funza kichwani. Anafahamu mambo wewe unafahamu michambo...
Utaskia Leo mganga amesema tupange kikosi hiki tunashinda ...ni babu wa Pemba kasema tupasue Nazi relini.

Popoma litabaki kuwa popoma tu..!
 
Kaka billionea bora umeachana na hiyo ID. Kuna siku niliona kiduku lilo wa tweeter akimwita Jk 'My'. Nilistuka sana, nikajiuliza bosi Lugano amepatwa na nini? Tuko pamoja bosi.

Hizo habari nilipata nikiwa UK nilipigiwa simu na Wanasheria wangu kuwa kuna mtu anatumia ID yangu na anaonekana hana akili. Sasa toka kipindi kile wakawa wanasheria na washauri wangu wanasema tumshtaki nikasema hapana.

Watanzania wengi ni maskini mlo tu wanapata mara tatu kwa siku na kutumia usafiri mgumu wa Toyota za miaka kumi iliyopita.

Hatokuwa na kitu wamwache tu. Ndio nikashauriwa na jopo la washauri nitumie jina hili. Na jana rasmi baada ya kuruhusiwa na Mahakama na BRELA nikaona niwasiliane na Max. Ingawa naye alisikitika sana kwa jambo hili. Ila ni mtu smart sana.
 
Bupe ni moyo wa utoaji
Unapatikana wapi ili kama una muda Unifundishe Hii Lugha. Maana kwasasa nafahamu lugha 7 tu za Kimataifa.

Kama hutojali na una mtaala wa kufundishia hii lugha tukubaliane niwe nakulipa USD 500 kwa masaa mawili tafuta Hotel ambayo itakuwa na room ndogo tu ambayo inaweza tumika kama darasa. Nitalipa. Pia nawe unaweza kaa hapo uchukue chumba. Nitalipa. Ili uwe unatulia tu na kutafakari cha kunifundisha.
 
Nmekuwa nikipokea Malalamiko sana kutoka kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki wakisema kuna watu wamekuwa wakiomba Funds kwa ajili ya Taasisi zao kwa kutumia jina langu la Kiduku Lilo.

Kwanza watu wangu walikuwa wanashangaa kuwa nini kimetokea mpaka naomba nichangiwe Usd 50,000 eti za kusaidia watu wenye uelewa hafifu na wenye mtindio wa kiuchumi. Maskini.

Jamaa zangu wengi na mashirika wamekuwa wakituma hizo pesa bila kuuliza. Lakini kuna jamaa yangu alinipigia simu leo akiwa Norway na kuuliza vipi hali yako kiuchumi mpaka unafikia kuomba utumiwe USD 25,000 Umekumbwa na nini? Ndo nikaona isiwe Shida. Kwa sasa Ntatambulika kama Bill Lugano. Hapo nimetumia jina moja la kibantu ambalo nilipewa kama kutunza asili ya Ubantu.

Huwa nawaambia mzazi wangu mmoja ana asili ya Tanzania. Mwingine ni Foreigner. So hapo walinipa majina moja la kizungu la Bill na lingine la Kibantu Lugano.

Karibuni sana wadau. Nipo hapa Hyatt Hotel napunga upepo tu weekend hii. Nikitafakari mambo mbalimbali. Nikichoka naenda zangu kulala.nlishachukua chumba. Waswahili hapo wakichukua chumba ni mpaka wawe na msichana. Si lazima.
sifa kuu ya watu wenye pesa sio watu wa kujisifia sio mtandaoni au kokote kule.

Hakuna mtu mwenye vipesa akawa anajim2ambafai katu katu.

Mtu ukiona anajimwambafai ujue hama kitu,ni hohe hahe
.
Ukiona mtu anaweza kumiliki pesa basi jua aliweza kumiliki mdomo wake pia.
 
Kama hutojali Bill Lugano karibu chama chetu cha UWABATA
Nnkete amino
 
Ni wivu tu gentamycine unaonekana kuwa na chuki kwa jamaa na wivu. Hivi kuna mtu anaandika mambo ya kipumbavu ya kitoto kama wewe humu JF? Bill Lugano is very bright na wengi tuna mpenda. Hana ugomvi na mtu, hana matusi na mtu. Ana malezi mazuri si kama wewe ambaye ulichoandika tu hapa kinaonesha hukulelewa vyema. Bill Lugano ni the Don. Ana pesa wewe una matusi. Ana akili wewe una funza kichwani. Anafahamu mambo wewe unafahamu michambo...
Achana na huyu taahira wa ki Rwanda
 
Genta hulka yake kubwa sana, ni kumchukua yoyote bila sababu yoyote ile
Genta ni mpenda kiki ila kwa KIDUKULILO lazima atulie, ndio maana roho inamuuma anaona jamaa kaja kumfunika.

Oyah, Billionaire Lugano nichezeshee dollar 10000 us.
Nina mpango wa kupeleka madini yangu Thailand tatizo nime pungukiwa kuasi hicho, nikiuza nitakurudishia 20000 us dollars.
 
Wachaa
IMG_20200919_100624.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bill Lugano mtu ya watu Sana , very humble , Hana makuu , Mzee wa kututoa mastress ...... Tushauri kidogo tufanye nini angalau tufikie uchumi wa Kati, tuwe tunakula angalau Milo mitano Kwa siku mana Milo mitatu ni umaskini na ufukara wa Hali ya juu , unaamka asubh na kiporo cha wali maharage daah et tunaita tumekunywa chai 😋
 
Ebwana eeee tajiri la kinyakyusa hilo Kiduku Lilo A.K.A
Bill Lugano on the beat,
Dadeq mwanangu uwe unakuja kuvuta mmea hapa Oysterbay beach sababu ni mdau mkubwa wa kitu cha Jamaica!
 
Gentamycine pamoja na kubadilisha ID akili imebaki ile ile...[emoji23][emoji23][emoji23] Ya kipumbavuh na wivu. Huyu Bill ndo habari ya mjini. Kwa wanaume watafutaji na wenye malezi mema. Sisi tunafuata madini aliyo nayo.... Huwa hana ugomvi na mtu. Wewe ulishadharaulika mpaka ukaamua kubadili ID ila akili ikabaki ni ile ile kisoda kichwa ndoo. Watu wameendelea kukudharau. Mwenzio mwanaume kabadili ID na taarifa katoa. Wewe sasa ..... Umebadili kimya kimya ila watu wakisoma wanaona hizi akili za kichokoraa mbona ni za gentamycine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom