Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushapoa?HahHahahaa makatapela[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekumbuka Mbeya
Sijapona bado...Ushapoa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gentamycine pamoja na kubadilisha ID akili imebaki ile ile...[emoji23][emoji23][emoji23] Ya kipumbavuh na wivu. Huyu Bill ndo habari ya mjini. Kwa wanaume watafutaji na wenye malezi mema. Sisi tunafuata madini aliyo nayo.... Huwa hana ugomvi na mtu. Wewe ulishadharaulika mpaka ukaamua kubadili ID ila akili ikabaki ni ile ile kisoda kichwa ndoo. Watu wameendelea kukudharau. Mwenzio mwanaume kabadili ID na taarifa katoa. Wewe sasa ..... Umebadili kimya kimya ila watu wakisoma wanaona hizi akili za kichokoraa mbona ni za gentamycine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahKaka billionea bora umeachana na hiyo ID. Kuna siku niliona kiduku lilo wa tweeter akimwita Jk 'My'. Nilistuka sana, nikajiuliza bosi Lugano amepatwa na nini? Tuko pamoja bosi.
Kiangaza, ila kwa wasukuma maana ya Lugano ni hadithiHiyo ni tafsiri ya kabila gani ?
Ni ile ile ya kiduku lilo modes wamefanya modifications tu.Mbona Bill Lugano ni ID kongwe kuliko hata Idukulilo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Boss anakwambia tunatumia usafiri mgumu Toyota za miaka 10 iliyopita dah[emoji1487][emoji1487]
Halafu unakuta kuna watu wanamchukia tu from nowhere. Jamaa nachomkubali si mkorofi kama mimi. Hana maneno na mtu. Yaani amekulia maisha ya kishua. Hajui kutukana wala kujibishana na mtu.Namkubar sana billi ligano ,ujue anakupa vibe fulan za maisha fulan ya kufikirika ambayo anayoondika yanweza kuwa ya kweli au la ilaa haimanishi hakuna watu hawaishi hayo maisha hapa hapa bongo hiii.acheni bhnaaa bongo hapa kuna watu sio mabillionea ilaa wana hela aisee sio utani ,nikipitaga masaki ,niende mbezi beach,Mara nikiingia mbweni kule naona mijengo ya bill lugano ,nikikutana na ford ranger tu namuwazaga huyu jamaa kuwa yaweza kuwa yeye anatoka sokoni kununua mahitaji
Sio hivyo tu nikionaga range rover kalii akili yangu yote inamuwazaga huyu jamaa kuwa anaweza kuwa yeye ,nikionaga mbongo ameongozana na wazungu wanaoonekana kama wataliii hivi au wana pesa najuaga huyu anaweza kuwa bill lugano ,nikikutana na MTU ambaye anaonekana ana hela najuaga ni huyu jamaa yawezekana ,nikiishiwa nawazaga nikutanae nae hata niombe kazi ya kukatia bustani kwenye apartment
Bill lugano unanipa maflavour sana ,kiufupi nimejua magar makali makali kupitia ww .
Ndo jambo linalomuumiza genta anaona watu wamemdharau amebaki na vitoto vidogo vinavyopenda matusi. Watu wenye akili wamemkwepa. Sasa anaona wivu Bill Lugie ana marafiki kibao humu ndani. Yeye anaumia amebadili ID ila akili imebaki ileile chafu ya zamani. Atuache na billionaire wetu wenyewe anatupa stim za kutafuta pesa.Genta ni mpenda kiki ila kwa KIDUKULILO lazima atulie, ndio maana roho inamuuma anaona jamaa kaja kumfunika.
Oyah, Billionaire Lugano nichezeshee dollar 10000 us.
Nina mpango wa kupeleka madini yangu Thailand tatizo nime pungukiwa kuasi hicho, nikiuza nitakurudishia 20000 us dollars.
Kuna mahala nimeona Mtu kaandika ID ya Chizi Maarifa ndiyo Gentamycine mwenyewe ila hapa anazuga ( unazuga ) ili usijulikane je, ni kweli au?Gentamycine pamoja na kubadilisha ID akili imebaki ile ile...😂😂😂 Ya kipumbavuh na wivu. Huyu Bill ndo habari ya mjini. Kwa wanaume watafutaji na wenye malezi mema. Sisi tunafuata madini aliyo nayo.... Huwa hana ugomvi na mtu. Wewe ulishadharaulika mpaka ukaamua kubadili ID ila akili ikabaki ni ile ile kisoda kichwa ndoo. Watu wameendelea kukudharau. Mwenzio mwanaume kabadili ID na taarifa katoa. Wewe sasa ..... Umebadili kimya kimya ila watu wakisoma wanaona hizi akili za kichokoraa mbona ni za gentamycine 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 Umeshikwa pabaya leo yatakutoka yoooooote. Mimi ndo bill lugano. 😂😂😂😂😂Kuna mahala nimeona Mtu kaandika ID ya Chizi Maarifa ndiyo Gentamycine mwenyewe ila hapa anazuga ( unazuga ) ili usijulikane je, ni kweli au?