ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

Komenti ziwe fupi fupi wadau,
anyway oy mkuu Bill Logie siku moja ufanye ziara ya kushtukiza Tukuyu
Ukajionee RAIA wa huko lifestyle yao ya ukarimu, pia usisahau kwenda kula bata Kyela na matema beach nadhani huko kidogo kutakupa experience na memory nzuri ya jiji la Miami Florida US,


bata liendelee

mitano ya ziada!
Mkuu kama ni mwenyeji huko we can arrange. Siyo tatizo. Utanambia tu nini na nini vinahitajika.
 
Tajiri asiye na makuu. Mpole na mnyenyekevu. Matajiri wengine hawataki kabisa kujiunga JF na pia kushare na vijana mawazo yao. Ila Jamaa kajitolea bado kuna watu wanamchukia.
 
Nmekuwa nikipokea Malalamiko sana kutoka kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki wakisema kuna watu wamekuwa wakiomba Funds kwa ajili ya Taasisi zao kwa kutumia jina langu la Kiduku Lilo.

Kwanza watu wangu walikuwa wanashangaa kuwa nini kimetokea mpaka naomba nichangiwe Usd 50,000 eti za kusaidia watu wenye uelewa hafifu na wenye mtindio wa kiuchumi. Maskini.

Jamaa zangu wengi na mashirika wamekuwa wakituma hizo pesa bila kuuliza. Lakini kuna jamaa yangu alinipigia simu leo akiwa Norway na kuuliza vipi hali yako kiuchumi mpaka unafikia kuomba utumiwe USD 25,000 Umekumbwa na nini? Ndo nikaona isiwe Shida. Kwa sasa Ntatambulika kama Bill Lugano. Hapo nimetumia jina moja la kibantu ambalo nilipewa kama kutunza asili ya Ubantu.

Huwa nawaambia mzazi wangu mmoja ana asili ya Tanzania. Mwingine ni Foreigner. So hapo walinipa majina moja la kizungu la Bill na lingine la Kibantu Lugano.

Karibuni sana wadau. Nipo hapa Hyatt Hotel napunga upepo tu weekend hii. Nikitafakari mambo mbalimbali. Nikichoka naenda zangu kulala.nlishachukua chumba. Waswahili hapo wakichukua chumba ni mpaka wawe na msichana. Si lazima.
Kwako the coming Kiduku lilo
 
Ni wivu tu, unaonekana kuwa na chuki kwa jamaa na wivu. Hivi kuna mtu anaandika mambo ya kipumbavu ya kitoto kama wewe humu JF? Bill Lugano is very bright na wengi tuna mpenda. Hana ugomvi na mtu, hana matusi na mtu. Ana malezi mazuri si kama wewe ambaye ulichoandika tu hapa kinaonesha hukulelewa vyema. Bill Lugano ni the Don. Ana pesa wewe una matusi. Ana akili wewe una funza kichwani. Anafahamu mambo wewe unafahamu michambo...
All in all Huwa na enjoy thread za KIDUKULILO
Amefanana Sana tabia na bro mmoja wakuitwa Visent alikua Rafiki ake na kaka angu sisi Tukiwa wadogo....

Tmk WANAUME wali imbaga nyumbani ni nyumbani basi ule wimbo ulisanifu maisha ya Vicent....

All in all one love kwa KIDUKULILO
 
Boss Lugie naomba niwe CHAWA wako nimechoka kula milo mitatu kwa siku
 
Ukiachilia mbali Sifa za Kipumbavu ulizonazo, Utoto ( japo ni Mkubwa ) na Ushamba unaokusumbua ila hata katika Maelezo yako hasa Kiuandishi hapa unaonekana ama si Mwanaume Riziki au uko mbioni kutokuwa Mwanaume Rijali.
Ushamba unakusumbua.. na wivu wa vitu fictional utakuua..
 
Back
Top Bottom