ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

Gentamycine pamoja na kubadilisha ID akili imebaki ile ile...[emoji23][emoji23][emoji23] Ya kipumbavuh na wivu. Huyu Bill ndo habari ya mjini. Kwa wanaume watafutaji na wenye malezi mema. Sisi tunafuata madini aliyo nayo.... Huwa hana ugomvi na mtu. Wewe ulishadharaulika mpaka ukaamua kubadili ID ila akili ikabaki ni ile ile kisoda kichwa ndoo. Watu wameendelea kukudharau. Mwenzio mwanaume kabadili ID na taarifa katoa. Wewe sasa ..... Umebadili kimya kimya ila watu wakisoma wanaona hizi akili za kichokoraa mbona ni za gentamycine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msameheni wakuu
 
Kaka billionea bora umeachana na hiyo ID. Kuna siku niliona kiduku lilo wa tweeter akimwita Jk 'My'. Nilistuka sana, nikajiuliza bosi Lugano amepatwa na nini? Tuko pamoja bosi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Namkubar sana billi ligano ,ujue anakupa vibe fulan za maisha fulan ya kufikirika ambayo anayoondika yanweza kuwa ya kweli au la ilaa haimanishi hakuna watu hawaishi hayo maisha hapa hapa bongo hiii.acheni bhnaaa bongo hapa kuna watu sio mabillionea ilaa wana hela aisee sio utani ,nikipitaga masaki ,niende mbezi beach,Mara nikiingia mbweni kule naona mijengo ya bill lugano ,nikikutana na ford ranger tu namuwazaga huyu jamaa kuwa yaweza kuwa yeye anatoka sokoni kununua mahitaji

Sio hivyo tu nikionaga range rover kalii akili yangu yote inamuwazaga huyu jamaa kuwa anaweza kuwa yeye ,nikionaga mbongo ameongozana na wazungu wanaoonekana kama wataliii hivi au wana pesa najuaga huyu anaweza kuwa bill lugano ,nikikutana na MTU ambaye anaonekana ana hela najuaga ni huyu jamaa yawezekana ,nikiishiwa nawazaga nikutanae nae hata niombe kazi ya kukatia bustani kwenye apartment

Bill lugano unanipa maflavour sana ,kiufupi nimejua magar makali makali kupitia ww .
Halafu unakuta kuna watu wanamchukia tu from nowhere. Jamaa nachomkubali si mkorofi kama mimi. Hana maneno na mtu. Yaani amekulia maisha ya kishua. Hajui kutukana wala kujibishana na mtu.
 
Genta ni mpenda kiki ila kwa KIDUKULILO lazima atulie, ndio maana roho inamuuma anaona jamaa kaja kumfunika.

Oyah, Billionaire Lugano nichezeshee dollar 10000 us.
Nina mpango wa kupeleka madini yangu Thailand tatizo nime pungukiwa kuasi hicho, nikiuza nitakurudishia 20000 us dollars.
Ndo jambo linalomuumiza genta anaona watu wamemdharau amebaki na vitoto vidogo vinavyopenda matusi. Watu wenye akili wamemkwepa. Sasa anaona wivu Bill Lugie ana marafiki kibao humu ndani. Yeye anaumia amebadili ID ila akili imebaki ileile chafu ya zamani. Atuache na billionaire wetu wenyewe anatupa stim za kutafuta pesa.
 
Gentamycine pamoja na kubadilisha ID akili imebaki ile ile...😂😂😂 Ya kipumbavuh na wivu. Huyu Bill ndo habari ya mjini. Kwa wanaume watafutaji na wenye malezi mema. Sisi tunafuata madini aliyo nayo.... Huwa hana ugomvi na mtu. Wewe ulishadharaulika mpaka ukaamua kubadili ID ila akili ikabaki ni ile ile kisoda kichwa ndoo. Watu wameendelea kukudharau. Mwenzio mwanaume kabadili ID na taarifa katoa. Wewe sasa ..... Umebadili kimya kimya ila watu wakisoma wanaona hizi akili za kichokoraa mbona ni za gentamycine 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna mahala nimeona Mtu kaandika ID ya Chizi Maarifa ndiyo Gentamycine mwenyewe ila hapa anazuga ( unazuga ) ili usijulikane je, ni kweli au?
 
Yeyote anaekerwa na Nyuzi zako ana Stress zinamsumbua tena za hataree. Endelea kutuburudisha.
 
Kuna mahala nimeona Mtu kaandika ID ya Chizi Maarifa ndiyo Gentamycine mwenyewe ila hapa anazuga ( unazuga ) ili usijulikane je, ni kweli au?
😂😂😂😂 Umeshikwa pabaya leo yatakutoka yoooooote. Mimi ndo bill lugano. 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom