Namkubar sana billi ligano ,ujue anakupa vibe fulan za maisha fulan ya kufikirika ambayo anayoondika yanweza kuwa ya kweli au la ilaa haimanishi hakuna watu hawaishi hayo maisha hapa hapa bongo hiii.acheni bhnaaa bongo hapa kuna watu sio mabillionea ilaa wana hela aisee sio utani ,nikipitaga masaki ,niende mbezi beach,Mara nikiingia mbweni kule naona mijengo ya bill lugano ,nikikutana na ford ranger tu namuwazaga huyu jamaa kuwa yaweza kuwa yeye anatoka sokoni kununua mahitaji
Sio hivyo tu nikionaga range rover kalii akili yangu yote inamuwazaga huyu jamaa kuwa anaweza kuwa yeye ,nikionaga mbongo ameongozana na wazungu wanaoonekana kama wataliii hivi au wana pesa najuaga huyu anaweza kuwa bill lugano ,nikikutana na MTU ambaye anaonekana ana hela najuaga ni huyu jamaa yawezekana ,nikiishiwa nawazaga nikutanae nae hata niombe kazi ya kukatia bustani kwenye apartment
Bill lugano unanipa maflavour sana ,kiufupi nimejua magar makali makali kupitia ww .