ID ya Kidukulilo nimeiacha baada ya Kuibuka Matapeli huko Mitandaoni. Natumia Bill Lugano (Billionaire Lugano)

Genta a.k.a popoma a.k.a kanga moko ni mpumbavu mmoja ambae umetumia nguvu kubwa sana kumjibu,huyo ni wa kumpuuza tu
 
Utaskia Leo mganga amesema tupange kikosi hiki tunashinda ...ni babu wa Pemba kasema tupasue Nazi relini.

Popoma litabaki kuwa popoma tu..!
 
Kaka billionea bora umeachana na hiyo ID. Kuna siku niliona kiduku lilo wa tweeter akimwita Jk 'My'. Nilistuka sana, nikajiuliza bosi Lugano amepatwa na nini? Tuko pamoja bosi.

Hizo habari nilipata nikiwa UK nilipigiwa simu na Wanasheria wangu kuwa kuna mtu anatumia ID yangu na anaonekana hana akili. Sasa toka kipindi kile wakawa wanasheria na washauri wangu wanasema tumshtaki nikasema hapana.

Watanzania wengi ni maskini mlo tu wanapata mara tatu kwa siku na kutumia usafiri mgumu wa Toyota za miaka kumi iliyopita.

Hatokuwa na kitu wamwache tu. Ndio nikashauriwa na jopo la washauri nitumie jina hili. Na jana rasmi baada ya kuruhusiwa na Mahakama na BRELA nikaona niwasiliane na Max. Ingawa naye alisikitika sana kwa jambo hili. Ila ni mtu smart sana.
 
Bupe ni moyo wa utoaji
Unapatikana wapi ili kama una muda Unifundishe Hii Lugha. Maana kwasasa nafahamu lugha 7 tu za Kimataifa.

Kama hutojali na una mtaala wa kufundishia hii lugha tukubaliane niwe nakulipa USD 500 kwa masaa mawili tafuta Hotel ambayo itakuwa na room ndogo tu ambayo inaweza tumika kama darasa. Nitalipa. Pia nawe unaweza kaa hapo uchukue chumba. Nitalipa. Ili uwe unatulia tu na kutafakari cha kunifundisha.
 
sifa kuu ya watu wenye pesa sio watu wa kujisifia sio mtandaoni au kokote kule.

Hakuna mtu mwenye vipesa akawa anajim2ambafai katu katu.

Mtu ukiona anajimwambafai ujue hama kitu,ni hohe hahe
.
Ukiona mtu anaweza kumiliki pesa basi jua aliweza kumiliki mdomo wake pia.
 
Kama hutojali Bill Lugano karibu chama chetu cha UWABATA
Nnkete amino
 
Achana na huyu taahira wa ki Rwanda
 
Genta hulka yake kubwa sana, ni kumchukua yoyote bila sababu yoyote ile
Genta ni mpenda kiki ila kwa KIDUKULILO lazima atulie, ndio maana roho inamuuma anaona jamaa kaja kumfunika.

Oyah, Billionaire Lugano nichezeshee dollar 10000 us.
Nina mpango wa kupeleka madini yangu Thailand tatizo nime pungukiwa kuasi hicho, nikiuza nitakurudishia 20000 us dollars.
 
Bill Lugano mtu ya watu Sana , very humble , Hana makuu , Mzee wa kututoa mastress ...... Tushauri kidogo tufanye nini angalau tufikie uchumi wa Kati, tuwe tunakula angalau Milo mitano Kwa siku mana Milo mitatu ni umaskini na ufukara wa Hali ya juu , unaamka asubh na kiporo cha wali maharage daah et tunaita tumekunywa chai πŸ˜‹
 
Ebwana eeee tajiri la kinyakyusa hilo Kiduku Lilo A.K.A
Bill Lugano on the beat,
Dadeq mwanangu uwe unakuja kuvuta mmea hapa Oysterbay beach sababu ni mdau mkubwa wa kitu cha Jamaica!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…