ID ya kipekee sana jf ni hii; imenishangaza sana

ID ya kipekee sana jf ni hii; imenishangaza sana

We ni kiazi kweli. Unacreate ID moya then unaianzishia thread
 
Hiv hilo takooo kwenye avatar lengo lako ni nn hasa ? Au ndio wàdangaji makahaba mlio poa
 
Kuna jamaa humu alikuwa anaitwa Viatu vya Samaki,huyu jamaa sijui alipoteleaga wapi
 
Kwani siku tunafundishwa romans number ulikuwa unakula tu visheti na ubuyu wa mwalimu Kazikuboma sio?
 
Back
Top Bottom