ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

Hivi unataka kusema kuwa haiwezekani kumfahamu mtu, kama ukiamua kumfuatilia kwa kina? kisa fake Id?
 
Moja ya jambo ambalo nalichukia πŸ˜‚ ni hili la kupata marafiki humu na mkaivana ila ndo hivyo hamjuanii

So unakuwa una create picha ya huyo mtu jinsi alivyo! Kumbe sivyo alivyo

By the way! Fake I'd zinawafanya watu wengi kuishi katika uhalisia wake! Anapiga Spana, anatukana, anadharau yaani anakuwa yeye halisi

Ila Pengine ukimkuta mtu huyo huyo nje Jf anajifanya kivingine!

Mzee ijumaa tuonane Monetary doctor πŸ˜‚
 
mi nikiwa nasoma comment ya mtu ambaye ameweka avatar ya celebrity nnaye mjua huwa nasoma kichwani kwa sauti ya yule celebrity kama simjui nasoma kutokana na avatar ilivyo kama ya mtu anayeonekana mpole nasoma kipole,mtu wa vituko hivyo hivyo na kama hajaweka avatar ya mtu nasoma kwa sauti yangu.
 
Niliwahi kujaribu kufanya uchunguzi kupitia watu wanaonizunguka kama kuna wanaotumia JF lakini nikakuta hamna kabisa. Kwanza watu wanauliza ndio kuna nini huko huku wengine wakisema wao ni wavivu kusoma soma
Jamii mara nyingi u
Inatumiwa na wasomi wa ngazi tofauti tofauti kama alivosema @Daud11 mimi Nilipenda sana jamii sababu ya jukwaa la biashara Infact kipind hicho ndo namaliza Chuo
 
Tumewaonya sana vijana wanaotukana humu kuhusu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…