ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

Mkuu sio rahisi wewe uchukue maamuzi ya kipuuzi na sisi majobless wenzako tupo , ila haiombagwi hivyo bwashee 😂
 
we mwenyewe unaweza ukawa umejichokea hata sio mshangazi basi tu id inakubeba
 
Atajua yeye 🤣🤣
 
hem unganisha dot kwangu unisome. Let's go practically! 😃
Weka dau mezani, Kuna siku nlikuwa nasoma comments za wananzengo nikapata idea flan nikazama Instagram nikaenda kwenye post za yule 'brazayenu' nikasoma comments zote ........Kuna comment Moja ilikua na 155weeks ikanifanya nikamjua mtu
 
Kuna siku nilipost picha selfika kuna jamaa akanifuata inbox ananiambia kumbe ni wewe akataja jina langu la nyumbni kabisa, nikavunga🤣🤣🤣 now namwona kwenye kila comments zangu anacheka tu.
 
Hapo Sasa inabidi baadhi ya mafaili uyawekeee password mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…