ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF.

Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana, inawezakana unabishana na boss wako na hujui.

Wale wa kujidai huko PM, ndiyo basi tena. Hivi hakuna mtu alishawahi kupanga miadi ya kukutana na mbebez, halafu akakuta labda ni mwenyekiti wake wa jumuiya 😂, akatoka ndukiiiiiiii.

View attachment 3257897
Wee nani alikuambia
 
Kwani we mshangazi una age ngapi, manake umejiunga long sana..kama upo late 30s au early 40s huyo mwamba anakuweka vizuri, hata kukuoa kabisa 🤣
Sitafuti wa kunioa, mi napenda hawa vijana niliowazidi umri, wanapeleka moto bila kuchoka. Yani mzee anaelekea 60, anipumulie juu juu mwishowe anifie kwa sababu nimemsusia mkia🍑, NO 😎
 
Hii ndiyo ilinifanya nifunge PM yangu, nilichat na mtu humu namuona wa kawaida akasema ana miaka 57, nikashtuka maana yule ni baba na babu wa familia kabisa 😂 .
Dah kwahiyo Sisi age go mnatuchukuliaje😄kwamba hatufai kuchati nanyi
 
Yani kama ni wewe nitafurahije, ila sijui nitaficha wapi sura yangu.
Ulidhani dada yako wa heshima, mcha Mungu, mama wa familia, kumbe kuna majukwaa naandika kuhusu raundi za mapenzi na namna ya kuliomba tendo bila kusema neno 😂 🤣 .

Itakua kasheshe sana!
Hehehehehehehehehehehehehehehehe
 
Back
Top Bottom