Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Aisee ni hatari! Na wale wanaosambaza taarifa za uongo ili aonekane anajua kila kitu😅Sana,maana mie sieleweki,rangi zote 12 ninazo🤣,,,anaenijia vile naruka nae vile alivyonijia,
Humu kukaa ki masta sana,wanakuharibia.