Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
Sawa mkuu, ndio maana nchi nyingi za kiislamu hazina Rais mwanamke. Au sio mkuu?...Ukweli ni kwamba kijiografia eneo la Uturuki lipo katika mabara mawili, kuna eneo lipo Ulaya na kuna eneo lipo Asia.
Tukija kwenye hoja ya kujiunga katika Umoja wa Ulaya, ni wazi kuwa umoja huu umejengwa chini ya mikataba ya haki za binadamu zinazotambua usawa kwa kila binadamu. Uturuki ina waislam wengi, ndani ya uislam hakuna usawa wa mwanamke na mwanaume.